Executor
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 872
- 994
Wanasema tunda hutakiwa kula kabla au baada ya masosi....Kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema tunda hutakiwa kula kabla au baada ya masosi....Kwanini?
Duuuuhh kwa nini mkuu
Oohh SawaMoro mkuu..
View attachment 1213357 Kazi Kazi
Inaonekana unamjua vizuri,mpaka aina ya wanawake anaopenda.
Msosi tayari, mda wa kupika mboga ni shida aisee.... Ubachela bhana.View attachment 1213287
Kumbe ni wivu tu unakusumbuaniletee mimi basi![emoji6][emoji6][emoji6]
Wapo tele kazi kushinda saloon kila kitu Dada Fanya hiviHivi kuna watu wanaoa wanawake hawajui kupika?
Uko mzima?Naam!!?
Mzima namshukuru Mungu, za kwako?Uko mzima?
Unanikagulia wapi? 😂cute b come this way for ukaguzi
Unanikagulia wapi? 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona unaonekana una good life alafu unagiza kuishi kipumbavu