Aisee yaani wewe kama mimi tu no stress kabisa ya nini kuhangaika wakati mzungu ameshaturahisishia hizo kazi??Sijawasha mkaa miaka aisee na hivi viwashio mifuko ya plastic imepigwa marufuku bdo kabisa hata jiko lenyewe sina, wali napika kwa rice cooker nina miaka 8 sasa, mboga kwenye gas maharage nina pressure cooker ya umeme.
Maisha marahisi kabisa.
Sijawasha mkaa miaka aisee na hivi viwashio mifuko ya plastic imepigwa marufuku bdo kabisa hata jiko lenyewe sina, wali napika kwa rice cooker nina miaka 8 sasa, mboga kwenye gas maharage nina pressure cooker ya umeme.
Maisha marahisi kabisa.
Kufua laundry machine technology has made life more easier [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu haujaiva, bado ni mchele haujafikia kwenye wali.
Nawewe unalia mboga kwenye sufuria tabia kama za shangazi yanguMabachela tunatambuana kwa misosi konkiView attachment 1212960View attachment 1212963
Msosi kamili View attachment 1212982
Wewe tena mimi ndo najua umuhimu wako.
[emoji41][emoji41]
Hiyo kitu inashuka tu bila matatizo unashushia na jagi la majiNliwahi kujaribu hiyo ya ugali mayai haki nlikabwa koo sana hakuna appetite nikaishia kula mayai tu.
Enzi hizo nipo mwenyewe bila mtoto, ila sasa hivi nimekomeshwa lazima nipike cha kueleweka mtoto mwenyewe ni foodie usipopika vya kueleweka hali na anakuambia "mama iii mbaya"
Wapo tele kazi kushinda saloon kila kitu Dada Fanya hivi
booooonge moja la menyu yaniMabachela tunatambuana kwa misosi konkiView attachment 1212960View attachment 1212963
Yaan naenda kutafuta miguu ya kuku sasa hivi