Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Sijawasha mkaa miaka aisee na hivi viwashio mifuko ya plastic imepigwa marufuku bdo kabisa hata jiko lenyewe sina, wali napika kwa rice cooker nina miaka 8 sasa, mboga kwenye gas maharage nina pressure cooker ya umeme.
Maisha marahisi kabisa.
Aisee yaani wewe kama mimi tu no stress kabisa ya nini kuhangaika wakati mzungu ameshaturahisishia hizo kazi??
 
  • Thanks
Reactions: amu
Sijawasha mkaa miaka aisee na hivi viwashio mifuko ya plastic imepigwa marufuku bdo kabisa hata jiko lenyewe sina, wali napika kwa rice cooker nina miaka 8 sasa, mboga kwenye gas maharage nina pressure cooker ya umeme.
Maisha marahisi kabisa.

Kufua laundry machine technology has made life more easier [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vibaya mno, juzi kuna mtu ananiambia eti wali wa kufunikiwa na mkaa sijui makoko ya juu na chini nikamuambia kwa maisha ya sasa hivi tunakimbizana na pesa, kulea watoto na mume hayo mambo ya kuwasha mkaa kusubiria sijui na nini haiwezekani, maisha marahisi sana jamani tusiyacomplicate.
Kufua laundry machine technology has made life more easier [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nliwahi kujaribu hiyo ya ugali mayai haki nlikabwa koo sana hakuna appetite nikaishia kula mayai tu.
Enzi hizo nipo mwenyewe bila mtoto, ila sasa hivi nimekomeshwa lazima nipike cha kueleweka mtoto mwenyewe ni foodie usipopika vya kueleweka hali na anakuambia "mama iii mbaya"
Hiyo kitu inashuka tu bila matatizo unashushia na jagi la maji
 
Back
Top Bottom