Yes, unasogea sogea kwenye wali. Hofu yangu ni ukifikia hapo hatutokula "ubwabwa" [emoji134][emoji134][emoji134]At least nimefika level ya ubwabwa au sio?
Halafu ifike mahali hilo jina la bachela life.Duh hatari
Hahahaha mambo gani haya kuumbuana tena?Huu ugali unaonekana ni mbichi.
Tena kwenye foil bado ya moto usisahau na sato wa kuchoma na kachumbariHiyo inabebwa bar ukifika geto unafinyanga ugali tu shughuli inaisha
Hahahahaha kwani wewe ulivyoula haujaona una nata nata kama peremende? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha mambo gani haya kuumbuana tena?
Ukikosa muda wa kukata nyanya na vitunguu... chumvi inahusika LOLHapo sawa...huwa nabeba nusu kuku nikirudi nyanya na kitunguu natoa roast saafi na wali/ugali
YessssMsosi kamili View attachment 1212982
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwamba kafuta ndio akapiga picha?
Sawa, ila hofu yangu ni kwamba naweza nikaliua lakini ukaendelea kujiita.Jinsi hilo jina kufa unaijua....kazi kwako
Enzi za ubachela hujui tofauti ya ladha ya msosi. Unakula ili chakula kiishe na tumbo lijaeHahahahaha kwani wewe ulivyoula haujaona una nata nata kama peremende? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ya baba swalehe sijaonaa[emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana pia.
Ila komesha ni Baba Swalehe akipika utafikiri anagombana na jiko.