Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mkorofi?Mkorofii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh wewe na mimi ni dugu moja...usisahau ndizi mbivuWewe ni bachela kabisa kama mm, bachela og. Nusu kilo ya nyama inakaa wiki nzima, ukipika wali wako unaweka na mchuzi plus finyango 2, wakat huo umekuja na parachichi lako swaafi linanogesha msosi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapika chakula kingiii halafu anamsingizia Swalehe ndio anakula sana.
Sasa hebu fanya namna kwa huyu pacha wako ili hilo jina life.Hiki ndio nilitaka kusema, pacha wangu msafi sana
Eewalaaa! Sie ni wasema kweli.Hahahahhahaha mtu na dadae. Watoto wa mama mmoja.
Sio fitina ni kwelii[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] atasema jiko la umeme halichafui sufuria.Wacha we!!
Na hayo masufuria nani huwa anasugua bwana bachela?
Huwa sili ubwabwa nakula waliPacha karibu tule ubwabwa
Hahahahaha ukiugusa huo una gandia mkononi.[emoji23][emoji23][emoji23] acha roho mbaya
Ndizi mbivu zinaongeza nyege, ukiziendekeza sana geto utaligeuza guest.Duh wewe na mimi ni dugu moja...usisahau ndizi mbivu
Mtoa mada[emoji23].Nani mkorofi?
Kama mnafikiri tunawahitaji ili mje mpike mtasubiri sanaKweli huu Uzi wa mabachelor sugu.
Mxeeeeeeew huna lolote, mwanaume unajipikia wakati wadada wazuri wapo?
Baharia unajiatahidi Usafi maana ilibidi nichungulie jiko kwa makini.
Fanya mpango life basiSasa hebu fanya namna kwa huyu pacha wako ili hilo jina life.