Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah ndio maana huwa mnapauka kwa kula vyakula vibichi.Enzi za ubachela hujui tofauti ya ladha ya msosi. Unakula ili chakula kiishe na tumbo lijae
Halafu ifike mahali hilo jina la bachela life.
Wengine hobby yetu jikoni mpaka tunakumbukwa kwa mapishiEnzi za ubachela hujui tofauti ya ladha ya msosi. Unakula ili chakula kiishe na tumbo lijae
Hapana, kwa sababu hilo jina unalipenda sana.Duh unatafuta visingizio
Hivi wewe na cute b ni mtu na mwanae au na dadae? Maanake fitina ziko damuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana pia.
Ila komesha ni Baba Swalehe akipika utafikiri anagombana na jiko.
Mkorofii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili nalo neno, sasa unakwama wapi mdogo wangu?
Hiki ndio nilitaka kusema, pacha wangu msafi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli huu ni ubwabwa.
Inaonekana u msafi, hujachafua jiko kama @mwifwa
Anapika chakula kingiii halafu anamsingizia Swalehe ndio anakula sana.Hiyo ya baba swalehe sijaonaa[emoji23][emoji23][emoji23].
Itakuwa swalehe ndio alikuwa anapika.
Wacha we!!Kitu kimechambuka...
Hahahahhahaha mtu na dadae. Watoto wa mama mmoja.Hivi wewe na cute b ni mtu na mwanae au na dadae? Maanake fitina ziko damuni
Wewe ni bachela kabisa kama mm, bachela og. Nusu kilo ya nyama inakaa wiki nzima, ukipika wali wako unaweka na mchuzi plus finyango 2, wakat huo umekuja na parachichi lako swaafi linanogesha msosi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
[emoji23][emoji23][emoji23] acha roho mbayaHuu ugali unaonekana ni mbichi.
Eeh, hapo ndipo unapokwama.Sijajigundua, ngoja nipunguze labda ndio ninapokwama