Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Wewe ni bachela kabisa kama mm, bachela og. Nusu kilo ya nyama inakaa wiki nzima, ukipika wali wako unaweka na mchuzi plus finyango 2, wakat huo umekuja na parachichi lako swaafi linanogesha msosi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unforgetable
Duh wewe na mimi ni dugu moja...usisahau ndizi mbivu
 
Back
Top Bottom