Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Safiii mzeebaba....

Mimi huwa naanza kupika mboga,nikianza na wali hua naugonga hvyo hvyo kupika mboga napotezea[emoji3][emoji3]
Jinga kweli.
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa mimi huwa narudi nimechoka napika mboga naidokoa hadi nakaribia kushiba naamua niile tuu yote nilale[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ndivyo alivyosema, si unaona hata kuwaza mnawaza sawa!!! Hebu fanyeni namna nijepo na mimi Dar kula ubwabwa. Maana Dar napasikiaga tu[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahahahah dar hauji dada utagongwa na magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom