Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Dokto na hoja hapa sema sio maahali pake ila popote kambi😅Haha Kweli ila atleast ila sio Viti vya Super Najumnisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dokto na hoja hapa sema sio maahali pake ila popote kambi😅Haha Kweli ila atleast ila sio Viti vya Super Najumnisa
Ipi Hiyo hahahahDokto na hoja hapa sema sio maahali pake ila popote kambi😅
Haahahahaha hahaha nilikuwa navumilia kusoma uzi kimya kimya ila mkuu hapa nimecheka sana.Halafu hizi siti za kuangaliana duh, unatoka dodoma mbaka Dar umeangaliana na mtu, ukifika sura yote umeshaiweka kichwani. Kama ni adui yako itabidi muombane tu msamaha, hakuna namna
Atakuambia Mbowe ndio amesababisha hizo siti kuwa kituko hivyo, yule jamaa sijui Mbowe alimfir.ia mke hahahhaaMchg Msigwa anasemaje
Sasa kwenye swala la giants, biblia inasema giants ni uzao wa malaika na binadam yani hybrids, grigori, lakin same bible inasema malaika hawaowi wala hawailewi, hii inaleta mkanyiko hawa hybrid ni uzao wa nani,Ipi Hiyo hahahah
Kuna Mengi ya Kuongea lakini Tatizo huu Ni uzi wa SGR tutamuahiribia Mdau na MADA Za kiimani na Philosophical Thought zetu..😂😅😅Sasa kwenye swala la giants, biblia inasema giants ni uzao wa malaika na binadam yani hybrids, grigori, lakin same bible inasema malaika hawaowi wala hawailewi, hii inaleta mkanyiko hawa hybrid ni uzao wa nani,
Lakin biblia inaonesha malaika wanaweza kumanifest into physical kuna mahala walipewa chakula physical na wakala, kuna maana walioneka kipindi cha sodoma wakiwa ni kama wanadam wa kawaida, hii inaonesha baadhj ya malaika wana maumbo au muonekano kama wetu, lakin swala la kuzaliana au kungonoka kwao ni issue ambayo iko forbiden au ni hairuhusiwi sasa kitu ambacho hakiruhusiwi haina maana kwamba huwez kufanya, pia biblia inasema be kind to strangers because other are angles, hii ni koja kwamoja naweza sema zamiyaza na genge lake walikua mzigo wa vigoli hapo mjini tanga we unasemaje??
Mengineyo
Nimekuta kitu kikaona hii ndo sababu kubwa ya kitabu cha enoch kula ban maana kina sema alie mpotosha eva sio lucifer ni gadrael😄 karibu
CC:Lucas MwashambwaNimebubujikwa na machozi🤣🤣🤣
View attachment 3140270
Mabehewa yote 8 kwenye treni yamchongoko ni business class, nauli ya chini ni 120000, behewa moja ni royal class ndio hilo, Lina nauli ya 150,000.
Popote kambi mkubwaKuna Mengi ya Kuongea lakini Tatizo huu Ni uzi wa SGR tutamuahiribia Mdau na MADA Za kiimani na Philosophical Thought zetu..😂😅😅
Ila ningependa Kusema tu kuwa Kuna Vitu Vingi sana wachungaji Na mapadre na Maaskofu hawakisemi muhusu Angelology na kipo clear Kabisa na wanapozidi kuficha Ndo maswali yanazidi Kuibuka..
Kiufupi kuna Malaika wa aina nyingi sana Ukiacha unaowajua wa Maserafi na Makerubi..
UKianzisha Nyuzi nitag Nitaelezea..
Huwa inatokea ukiwa na viongoz wenye umri mkubwa, their mindset bado iko stuck at 1970s , thats how watataku ku model everything beased of miaka hiyo, si kwa kasi ya kuendana na duniaDuh viongozi wa Tanzania! Wanahisi hii dunia ya 2024 ni sawa na dunia 1940 kwamba unadaganya kitu na wananchi wanakukubalia.