Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

Hakuna hata sehemu ya kuweka chupa ya maji
Niliwai kusema hspa kuwa treni hilo la EMU la mchongoko wanalo taka watu wapande kwa bei kubwa zaidi ni duni kuliko lile la kawaida lililoanza kazi .. sasa hapo ndiyo kituko kilipo na haya ni madhara ya mipango mibovu za serikali pumbavu ya sisiemu ....yani mtu alipe 150000 kupanda treni duni wakati akipanda treni bora analipa 70000...?..huo. mchongoko una hadhi ya TRAM tu yani kutumika kama BRT za mijini hapo ingekuwa sawa hata viti vyake ni vidogo kufaa kuwa kama basi la daladala tu ....naishauri serikali pumbavu ya sisiemu kufanya haya yafuatayo kwa EMU zitakazo kuja wawaite waundaji wa waje wafanye maboresho kwa kuangalia sgr ya kawaida na hiyo ya EMU kwa hoja kuwa,EMU ni lazima iwe nzuri zaidi kwa ndani kuliko ile ya kawaida .....mapungufu yaliyopo kwenye hiyo EMU ni mengi kuifanya kuwa ya bei juu ni kituko ...mfano wa mapungufu ni taa..taa zipo chache ...tv chache ...viti ni vidogo hakuna sehemu ya kuwekea hata chai au maji ya kunywa nadhani haya yote yametokana na viti kuwa na uwezo wa kuzunguka hivyo imefanya viwe vidogo na kukosa baadhi ya mambo kama kimeza cha kukunjua ...pia bora hiyo EMU ingekuwa na speed kubwa ya 200km/h tunge sema ina hadhi ya kuwa na bei juu kuliko ile sgr ya kawaida ...waboreshe soeed yake...nk ....tren siyo baya ila wakisema kuwa ni ROYAL HAPO NI KOSA KUBWA SANA bei iwe juu kidogo kabda izidi kwa sh 20000 tu
 
Zote za Kenya na Tanzania sijazielewa hizo siti, kwenye Vip siti inatakiwa iwe pana ndio unapata ile comfort na kutochoka.
Wajaluo wametunyuka kwa hili gogo letu seat kama za porte
 
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.

Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258

Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.

Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261

Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
Naomba sana sana yarudi yalikotoka
 
Duh viongozi wa Tanzania! Wanahisi hii dunia ya 2024 ni sawa na dunia 1940 kwamba unadaganya kitu na wananchi wanakukubalia.
Shida Ni kwamba hata wananchi wasipokubalina na hao viongozi,wananchi hawana la kufanya , so sad.
 
Kwa Nini hizo siti zinatazamana,sijaipenda hata kidogo
 
Back
Top Bottom