Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Hovyo hovyo kabisa... moto wa Sodoma na Gomorrah umekaribia. Haiwezekani watu wanazaliwa wanaume halafu wanachagua kuwa wanawake. This is abomination. Halafu tunaambiwa tukubaliane na hali hii. Bora waliokufa zamani hawakuyaona haya.
Kibaya zaidi siku hizi haya mambo yanakuwa promoted popote, kwenye movies, katuni, mtaani na hata huku jf matakataka ya aina hii yapo na yanajipromote.

So pathetic.
 
Back
Top Bottom