Kumbe na wewe umo?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hata zisipo kuwepo, nini mbayaaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wewe umo?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hata zisipo kuwepo, nini mbayaaa?
Alimuadobt ili amgeuze awe hivyo.Daima mzungu hana upendo wa dhati kwa muafrica
Angekuwa Mwanao ungemshangilia hivyo?.Hili dela nimelipenda mnoo, oooohhhhhpppppss
Katoka mcharoo. Yaan kanoga hatareee.
Kuna Zungu moja linamtolea macho na udenda ni kama linasema hili choko sijui nitalipataje.Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu View attachment 2244442
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hebu Waswahili acheni kuhitimisha msiyoyajua.Alimuadobt ili amgeuze awe hivyo.Daima mzungu hana upendo wa dhati kwa muafrica
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hatareeeeh
Ndyoooooh Simba damu, dea. [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]Utakuwa shabiki wa Simba wewe [emoji23]
Yote yanaweza kuwa majibu..Mkuu hivi ni unawakubali, unaheshimu maamuzi yao au wewe ni mmoja wao?
Kwahiyo?Kumbe na wewe umo?
Tena mno haswaaah.Angekuwa Mwanao ungemshangilia hivyo?.
Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu View attachment 2244442
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hebu Waswahili acheni kuhitimisha msiyoyajua.
Kwanza una uthibitisho gani kama huyo Jamaa kawa Shoga?, au kwa kuwa kafaa hivyo?..huyo huenda ni ulimbukeni tu wa "Masikini akipata...".
Na hata kama amekuwa hivyo unamuingizaje Madona na kutaka kuiondoa nia yake njema ya tangu awali?...kwamba angetaka kuwa Msomi, Msanii au Mwanamichezo angemzuia?
Madona sio Mzungu wa kwanza wala wa mwisho kufanya hisani ya aina hiyo, wapo wengi wala hawatangazi na sio Watu Marufu kama Madona.
Ile St Jude ya Arusha inapokea Watoto wasio na uwezo wa kugharamia Masomo ambayo Wenzenu wenye uwezo na nyadhfa wanawasomesha Watoto wao Shule kama zile...sasa utoke huko wewe uanze kubeza Watu wanaosimamia ile Shule kwamba wana nia ovu?.
Sisi Watu Masikini hatujiamini kabisa, tunahisi tunaonewa tu kila wakati.
Kwahiyo?
Nijibaraguze kwa kipi? Unaumia mnooo? Vimba hadi upasuke, sasa ndo hivyo dela kavaa na anashaukwa ki gay. Una lipi jingine?Na wewe ndio wale wale usijibaraguze!!! Come out!!
Inaelekea huna shida na WASAGAJI na WASENGE?Nijibaraguze kwa kipi? Unaumia mnooo? Vimba hadi upasuke, sasa ndo hivyo dela kavaa na anashaukwa ki gay. Una lipi jingine?
Poleeeeeeh [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Bora wasingempa mtoto Africa waweke sheria kama mtu anataka ku adopt mtoto kutoka Africa basi awe mwafrika au waishi africaWakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu View attachment 2244442
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sina shida nao kabisaa, mie nani nipinge maamuzi yao? Huo muda sina kila mtu awe buzzy na yake.Inaelekea huna shida na WASAGAJI na WASENGE?
Sina shida nao kabisaa, mie nani nipinge maamuzi yao? Huo muda sina kila mtu awe buzzy na yake.
Wacha wee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshindwa mimi!! I think I belong to an old generation.