Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Mtani sicheki Kwa Uzuri Ila nasikitika Kwamba Dogo anuani za makazi kwake Haziko salama kabisa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umasikini kitu kibaya sana! Wazazi walimuuzaa Mtoto wao kwa sababu za umasikini wao!! Na mnunuzi kaona kanunua Kama toy, anaweza libadilsha anavyotaka yeye na hata Wazazi wake hawana say yoyote ile kisheria maana walishavut mkwanja bila ya kuambiwa mashariti na vigezo vya Mkataba wao wa Mauziano!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
cocastic my bby you always make me happy... Ingawa ktk hili tunazinguana chumbani.
Still our love is object and eternal
Lavyuuuuuu
 
Bora wasingempa mtoto Africa waweke sheria kama mtu anataka ku adopt mtoto kutoka Africa basi awe mwafrika au waishi africa
yote ni yale yale tu kwqn Hakuna watoto walio lelewa na kuishi Afrika toka kuzaliwa kwao lakin bado wakawa mashoga na wasagaji?
Kama hakuna msingi bora wa malezi ata kama wakisema walelewe makanisan na misikitini bado watapotea tu.
 
Back
Top Bottom