Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Inasikitisha, huyu dogo amezaliwa fresh tu mzima, ni mazingira na malezi yamembadilisha hivyo, wakati mwingine unakuta ni Madonna mwenyewe ali wish dogo awe hivyo, akamlea kwa uelekeo awe hivyo.

Rafiki yangu ana msichana mzungu, siku moja nikamuuliza mzungu, kwenu mnachukuliaje gays? akanambia anawapenda na ana wish first born wake awe gay, nilichoka sana, nikaona hapa jamaa kapotea akimuoa.

Unakuta mtoto unamlea unampaka rangi midomoni, unamvalisha ear rings n.k we unafikiri itakuaje? hawa wazungu mengine ni makusudi kabisa wanataka watoto wawe hivyo.

Hovyoo kabisa, toka lini mkundu utumike kama uke?, inasikitisha sana.
 
Wazungu mnawasifia kila siku wako tayari kutumia kiasi chochote ili mradi tu Watuvunjie Mila zetu,Angalia Dogo kaadoptiwa ili aje kupigwa Mbupu.
 
Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu View attachment 2244442

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inaonekana Madonna alimchukua kwa lengo lake ndyo kama hvyo ushenzi mtupu
 
Huyo ni msanii tu kavaa kisanii Wala sio shaga kama wengi mnavofikikia ,mbona wasanii 2q bongo siku hizi wanavaa sketi vipi nao ni Mashoga?Wabongo punguzeni uzushi kwa vitu msivyovijua.
 
Kwenye miaka ya 2010s huyu dogo alipelekwa na Madonna Parc de Price kucheki game ya PSG. Na ilisemekana ana dream za kua footballer damn.
Sasa sijui imekuaje.
 
Back
Top Bottom