Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Sasa kwanini hamuweki nyuzi za kuelimisha wadau?haya mambo ni vizuri kuelimishana,Mkuu nilishakuomba ulete Uzi kuhusu swali Fulani la kidini nililokuuliza PM,ukaahidi utaleta,mwaka umeisha sasa
Tatizo ni JF ndugu yangu. Ukiweka uzi wenye kufundisha mambo ya MUNGU wanautupa kule kwenye jukwaa la DINI ambako hakuna wachangiaji.

Na hiyo ndiyo sababu inayonifanya nishindwe kuuweka ule uzi wa "UFUNUO".
 
Ni kweli Jukwaa la dini halina wachangiaji maana wengi hawana Access kule,sasa tunakosa mambo mengi
 
Ndo maana hata miziki yao hawa Illuminat huwa siipendi, hata kama ni mizuri namna gani. Wendakuzimu kabisa hawa!
 
Kama hamtaki watoto wenu wawe adopted zaeni kwa mpango na muwatunze vinginevyo dunia itawatunza.
 
Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu View attachment 2244442

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mtu aliyeokotwa na kulelewa na msagaji ulitegemea matokeo ya aina gani zaidi ya hayo?
 
Kibaya zaidi siku hizi haya mambo yanakuwa promoted popote, kwenye movies, katuni, mtaani na hata huku jf matakataka ya aina hii yapo na yanajipromote.

So pathetic.
Bwana bwana ni disaster Jana nime heck series ya SA ni hatari mashoga kibao , full kutafunana [emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanavurugwa humu woiiiiih.
 
Bwana bwana ni disaster Jana nime heck series ya SA ni hatari mashoga kibao , full kutafunana [emoji119][emoji119][emoji119]
Acha kabisa, kuna movie niliangalia majuzi nikakutana na scene ya hivyo... I was like, what the f*ck...

Kizazi kijacho hasa cha kiafrika nakionea huruma sana.
 
Back
Top Bottom