Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Lets not judge by the look but the facts.

David alivaa nguo ya mama yake aliyovaa mwaka 1993 kwenye matangazo ya Adidas. That was exhibition na aliombwa na mama yake afanye hivyo.

Madonna's Son David Banda, 16, Wears a Recreation of Her Famous '90s Adidas Dress​


David Banda's Adidas x Gucci design was a walk down memory lane for his mom Madonna, who wore a similar dress in 1993
By Julia MooreMay 31, 2022 05:19 PM




advertisement
FBTweetMore

CREDIT: ROBIN PLATZER/GETTY; CASSY ATHENA/GETTY IMAGES
Like mother, like son.
Madonna's 16-year-old son David Banda channeled her iconic style on Saturday night — and gave us some serious fashion flashbacks. Wearing a red and white-stripe dress — a collaboration between Adidas and Gucci launching on June 7 – Banda made a statement at the WBA World Lightweight Championship in New York City.
For Madonna fans, and fashion fans alike, the look probably seemed familiar.
It was an ode to a dress his mother wore in 1993 — a red and white-striped Adidas dress she was photographed wearing to the premiere of Sleepless in Seattle alongside Rosie O'Donnell.
Gucci called it a "past-meets-present moment" in an Instagram post shared Monday.
"The archival original was part of an official collaboration between the sportswear brand and Laura Whitcomb of Label NYC and re-envisioned by Alessandro Michele within his Exquisite Gucci collection," the brand shared in the caption.
 
Bora angebaki Africa na kuishi ufukara wake kuliko alivyoenda majuu na kuishia kuwa punga.

Father figure ndani ya nyumba ina nafasi yake jamani, tusiibeze.
 
kwamba we hujaona hiyo sio nguo moja?

mikono, kifuani, ragni mb0na tu sio nguo moja!

and madonna hajaongezeka chochote kuwa asiweze kuvaa hilo gauni iwapo issue ingekuwa ni hiyo.
David is simply gay.
 
Wanawake mnajua Sana kulea na kutetea mashoga.
 

Wanawake mnajua Sana kulea na kutetea mashoga.
af sijui kwann
 
Angoje kidogo aisee,wengine ndio tupo tunapaua tupate hata pa kujisitiri,sasa akija shughuli za ujenzi sio ndio zimeishia hapo[emoji3]
Nani kakwambia YESU KRISTO akija anakuja kuifuta dunia?
Wengi wenu mnakosea sana. YESU haji kuiondoa au kuifuta dunia, bali anakuja KUITAWALA dunia kwa kutumia amri, kanuni na taratibu na sheria za MUNGU.
 
Nani kakwambia YESU KRISTO akija anakuja kuifuta dunia?
Wengi wenu mnakosea sana. YESU haji kuiondoa au kuifuta dunia, bali anakuja KUITAWALA dunia kwa kutumia amri, kanuni na taratibu na sheria za MUNGU.
Sasa kwanini hamuweki nyuzi za kuelimisha wadau?haya mambo ni vizuri kuelimishana,Mkuu nilishakuomba ulete Uzi kuhusu swali Fulani la kidini nililokuuliza PM,ukaahidi utaleta,mwaka umeisha sasa
 
Dah kuna wimbi kubwa la watu weusi kuwa mashoga, Sijui tunapoelekea kwa kweli.
 
Your browser is not able to display this video.
Afu bado kuna wagu wanamtetea??? 😥😥😥
So sad kwa huyu dogo.... Kiufupi keshaharibikiwa huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…