Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Tatizo ni JF ndugu yangu. Ukiweka uzi wenye kufundisha mambo ya MUNGU wanautupa kule kwenye jukwaa la DINI ambako hakuna wachangiaji.Sasa kwanini hamuweki nyuzi za kuelimisha wadau?haya mambo ni vizuri kuelimishana,Mkuu nilishakuomba ulete Uzi kuhusu swali Fulani la kidini nililokuuliza PM,ukaahidi utaleta,mwaka umeisha sasa
Ni kweli Jukwaa la dini halina wachangiaji maana wengi hawana Access kule,sasa tunakosa mambo mengiTatizo ni JF ndugu yangu. Ukiweka uzi wenye kufundisha mambo ya MUNGU wanautupa kule kwenye jukwaa la DINI ambako hakuna wachangiaji.
Na hiyo ndiyo sababu inayonifanya nishindwe kuuweka ule uzi wa "UFUNUO".
Duuh si walisema chaboli huyu?Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu View attachment 2244442
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana mkuu avute vute kidogo etiMwache avute vute kidog wengine hatujawekana nae sawa
Mtu aliyeokotwa na kulelewa na msagaji ulitegemea matokeo ya aina gani zaidi ya hayo?Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu View attachment 2244442
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa hawezi kuwa chaboli hapo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh si walisema chaboli huyu?
😂😂😂😂 Yaan dogo kaishia kiwa chakulaaaWakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea Huyu View attachment 2244442
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bwana bwana ni disaster Jana nime heck series ya SA ni hatari mashoga kibao , full kutafunana [emoji119][emoji119][emoji119]Kibaya zaidi siku hizi haya mambo yanakuwa promoted popote, kwenye movies, katuni, mtaani na hata huku jf matakataka ya aina hii yapo na yanajipromote.
So pathetic.
Acha kabisa, kuna movie niliangalia majuzi nikakutana na scene ya hivyo... I was like, what the f*ck...Bwana bwana ni disaster Jana nime heck series ya SA ni hatari mashoga kibao , full kutafunana [emoji119][emoji119][emoji119]
Wote wanabahatisha wewe ndo mwenye majibu.Sasa si uwaombe uthibitisho, unakwama wapiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! kwahio unapakua uharo?cocastic my bby you always make me happy... Ingawa ktk hili tunazinguana chumbani.
Still our love is object and eternal
Lavyuuuuuu
Ball ya matakoDuuh si walisema chaboli huyu?