MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,771
- 4,065
[h=3][/h]
kwa mujibu wa annapita.com, Shilole alisema kuwa huu ndio muonekano wake wa mwaka mpya wa 2013. Mrembo huyo aliongeza kwamba alikata nywele Jumapili ikiwa .Staili ya kukata nywele fupi kwa wanawake naona imeongezeka umaarufu hivi karibuni. Waweza iita the Amber Rose effect! Watu wengi waliikubali style ya Jackie Wolper alivyokata nywele fupi. Sijui wewe unaonaje kwa Shilole. Mimi macho yangu yameishia kwenye gauni, sijaweza hata kuangalia nywele.
Picha zote kutoka: annapita.com