Huu NDIO MWONEKANO MPYA WA SHILOLE

Huu NDIO MWONEKANO MPYA WA SHILOLE

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
[h=3][/h]

shilole-nywele-fupi-style-mpya.jpg

kwa mujibu wa annapita.com, Shilole alisema kuwa huu ndio muonekano wake wa mwaka mpya wa 2013. Mrembo huyo aliongeza kwamba alikata nywele Jumapili ikiwa .Staili ya kukata nywele fupi kwa wanawake naona imeongezeka umaarufu hivi karibuni. Waweza iita the “Amber Rose effect!” Watu wengi waliikubali style ya Jackie Wolper alivyokata nywele fupi. Sijui wewe unaonaje kwa Shilole. Mimi macho yangu yameishia kwenye gauni, sijaweza hata kuangalia nywele.
Picha zote kutoka: annapita.com
shilole31.jpg

aah,hana thdman huyo,ebu chek hii list ya waliopta kwenye nyau yake..
YOUNG D..
MAREHEMU SHALO MILIONEA(mungu amsamehe)..
TOP C..
BOB JUNIOR..
Q-CHILLAH..
HEMED PHD..
YUSUPH MLELA..
NA MIM NDO NPO NJIANI NAMMENDEA..
 
wewe umemusahau Barnabas mzee wa mavokoooooo.
Na ndo alie sababisha huyuu she kuingia kwenye game.
 
aah,hana thdman huyo,ebu chek hii list ya waliopta kwenye nyau yake..
YOUNG D..
MAREHEMU SHALO MILIONEA(mungu amsamehe)..
TOP C..
BOB JUNIOR..
Q-CHILLAH..
HEMED PHD..
YUSUPH MLELA..
NA MIM NDO NPO NJIANI NAMMENDEA..
Simuoni Timbulo humu....
 
Mkuu huogopi ngoma!..

List yote hiyo na wabongo hata kinga hatujui kutumia?..

aah,hana thdman huyo,ebu chek hii list ya waliopta kwenye nyau yake..
YOUNG D..
MAREHEMU SHALO MILIONEA(mungu amsamehe)..
TOP C..
BOB JUNIOR..
Q-CHILLAH..
HEMED PHD..
YUSUPH MLELA..
NA MIM NDO NPO NJIANI NAMMENDEA..
 
aah,hana thdman huyo,ebu chek hii list ya waliopta kwenye nyau yake..
YOUNG D..
MAREHEMU SHALO MILIONEA(mungu amsamehe)..
TOP C..
BOB JUNIOR..
Q-CHILLAH..
HEMED PHD..
YUSUPH MLELA..
NA MIM NDO NPO NJIANI NAMMENDEA..
Safari njema,kila la kheri.
 
aah,hana thdman huyo,ebu chek hii list ya waliopta kwenye nyau yake..
YOUNG D..
MAREHEMU SHALO MILIONEA(mungu amsamehe)..
TOP C..
BOB JUNIOR..
Q-CHILLAH..
HEMED PHD..
YUSUPH MLELA..
NA MIM NDO NPO NJIANI NAMMENDEA..

Muongezee Le Mutuz
 
Back
Top Bottom