William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Bonge la kocha na anaspirit na Simba kupita kiasi angalia vibe la goli la tatu , huyu kocha anajua brand ya Simba1. Kwanza anauwezo wa kutumia wachezaji wote tofauti na Mgunda. Tutegemee kutumia wachezaji wote kuanzia Okra, Banda, Mwanuke mpaka Kibu na Kyombo.
2. Wepesi wa kufanya maamuzi wakati mechi inachezwa. Hiyo ni tofauti na Mgunda. Siku tunafungwa na Azam Mgunda hakubadili mbinu. Au kabla ya Mbeya kusawazisha upepo ulionekana lkn hakuchukua hatua. Lkn mbrazili kafanya maamuzi mapema Sana baada ya gemu kubadilika.
3. Anauwezo wa kubadili mchezaji moja moja. Tutegemee mazuri kuliko mapungufu. Tutegemee wachezaji wote Simba kutumika na bado tukapata matokeo
Nje ya mada; lile sakata la mteja wako Fei Toto dhidi ya waajiri wake Yanga, limeishia wapi ndugu wakili msomi?1. Kwanza anauwezo wa kutumia wachezaji wote tofauti na Mgunda. Tutegemee kutumia wachezaji wote kuanzia Okra, Banda, Mwanuke mpaka Kibu na Kyombo.