Huu ndio ubora wa Mbrazili dhidi ya Mgunda

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
1. Kwanza anauwezo wa kutumia wachezaji wote tofauti na Mgunda. Tutegemee kutumia wachezaji wote kuanzia Okra, Banda, Mwanuke mpaka Kibu na Kyombo.

2. Wepesi wa kufanya maamuzi wakati mechi inachezwa. Hiyo ni tofauti na Mgunda. Siku tunafungwa na Azam Mgunda hakubadili mbinu. Au kabla ya Mbeya kusawazisha upepo ulionekana lkn hakuchukua hatua. Lkn mbrazili kafanya maamuzi mapema Sana baada ya gemu kubadilika.

3. Anauwezo wa kubadili mchezaji moja moja. Tutegemee mazuri kuliko mapungufu. Tutegemee wachezaji wote Simba kutumika na bado tukapata matokeo
 
Hizi habari za wasifu wa kocha mpya wa kigeni huwa ni kawaida humu kizikuta lakini mwisho wa siku wanaishia kuondoka Simba
 
Hapo kwenye maamuzi ajabu wengine ndio wanaanza kumpangia, amtoe nani amuache nani, hawajui kwa kocha kila mchezaji ni muhimu na wote wana matumizi tofauti kulingana na mpinzani aliyepo..

Wao wamekariri tu, fulani lazima awepo hata kama siku hiyo mechi haiendani nae kulingana na mtazamo wa kocha, muhimu timu ishinde bila kujali nani yupo/hayupo uwanjani.
 
1. Kwanza anauwezo wa kutumia wachezaji wote tofauti na Mgunda. Tutegemee kutumia wachezaji wote kuanzia Okra, Banda, Mwanuke mpaka Kibu na Kyombo.

2. Wepesi wa kufanya maamuzi wakati mechi inachezwa. Hiyo ni tofauti na Mgunda. Siku tunafungwa na Azam Mgunda hakubadili mbinu. Au kabla ya Mbeya kusawazisha upepo ulionekana lkn hakuchukua hatua. Lkn mbrazili kafanya maamuzi mapema Sana baada ya gemu kubadilika.

3. Anauwezo wa kubadili mchezaji moja moja. Tutegemee mazuri kuliko mapungufu. Tutegemee wachezaji wote Simba kutumika na bado tukapata matokeo
Bonge la kocha na anaspirit na Simba kupita kiasi angalia vibe la goli la tatu , huyu kocha anajua brand ya Simba
 
1. Kwanza anauwezo wa kutumia wachezaji wote tofauti na Mgunda. Tutegemee kutumia wachezaji wote kuanzia Okra, Banda, Mwanuke mpaka Kibu na Kyombo.

2. Wepesi wa kufanya maamuzi wakati mechi inachezwa. Hiyo ni tofauti na Mgunda. Siku tunafungwa na Azam Mgunda hakubadili mbinu. Au kabla ya Mbeya kusawazisha upepo ulionekana lkn hakuchukua hatua. Lkn mbrazili kafanya maamuzi mapema Sana baada ya gemu kubadilika.

3. Anauwezo wa kubadili mchezaji moja moja. Tutegemee mazuri kuliko mapungufu. Tutegemee wachezaji wote Simba kutumika na bado tukapata matokeo
Nje ya mada; lile sakata la mteja wako Fei Toto dhidi ya waajiri wake Yanga, limeishia wapi ndugu wakili msomi?
 
Back
Top Bottom