William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
1. Kwanza anauwezo wa kutumia wachezaji wote tofauti na Mgunda. Tutegemee kutumia wachezaji wote kuanzia Okra, Banda, Mwanuke mpaka Kibu na Kyombo.
2. Wepesi wa kufanya maamuzi wakati mechi inachezwa. Hiyo ni tofauti na Mgunda. Siku tunafungwa na Azam Mgunda hakubadili mbinu. Au kabla ya Mbeya kusawazisha upepo ulionekana lkn hakuchukua hatua. Lkn mbrazili kafanya maamuzi mapema Sana baada ya gemu kubadilika.
3. Anauwezo wa kubadili mchezaji moja moja. Tutegemee mazuri kuliko mapungufu. Tutegemee wachezaji wote Simba kutumika na bado tukapata matokeo