Mnandi Jr
Member
- May 30, 2026
- 78
- 119
Salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.
pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.
ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.
kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.
kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).
chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)
muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..