Huu ndio uhalisia, hakuna rais atakae maliza matatizo ya Tanzania

Salam.

kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.

Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.

kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.

pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.

ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.

kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.

kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).

chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)

muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..

..Matatizo ya Watanzania yanajulikana.

1. Ujinga.

2. Umasikini.

3. Maradhi.

..Tatizo kuna Maraisi kwa mienendo yao wameongeza matatizo mapya kama:

1. Utekaji.

2. Utesaji.

3. Mauaji.

4. Wizi wa kura.

..Watanzania wana kila sababu ya kuchukizwa na uongozi wa Mama Abduli.
 
Kama Rais ataondolewa Kinga na kutakua na haki ya kumshitaki kama watuhumiwa wengine na wakachukuliwa hatua stahiki tokana na madudu yao mbona maendeleo ni lazima.
Shida mahakama sio huru, sekta zote wamewekana kwa namna hii tutaendelea vipi?
 
Salam.

kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.

Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.

kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.

pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.

ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.

kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.

kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).

chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)

muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
All we need to see is a good faith effort. Kwa sasa hatuoni hili. Matatizo yetu ni yale yale year in, year out—no one is making a good faith effort to solve them!
 
Rais ndio tatizo la kwanza katika nchi
 
All we need to see is a good faith effort. Kwa sasa hatuoni hili. Matatizo yetu ni yale yale year in, year out—no one is making a good faith effort to solve them!
What we have creates more problems rather than even "making good faith effort"
 
Naomba nikujulishe pia kuwa;
Maendeleo unayo yaona China ya leo ni matokeo ya mapinduzi makubwa ya kiuchumi aliyoyafanya Rais wao aliyejulikana kama Mao Zedong, wakati akiwa madarakani kwa kipindi cha miaka 10 (1966 to 1976)
Hapana.
Hujamfundisha chochote, bali unazidi kumjaza ujinga.

Maendeleo hayaletwi na kiongozi mmoja ndani ya muda maalum; labda kasoro tu ya yule wa Singapore'.

Maendeleo ya nchi hujengeka hatua kwa hatua kwa kufuata misingi muhimu inayowekwa na kuendelezwa na viongozi wenye dira sahihi juu ya taifa lao.

Huyo Mao unayemzungumzia huko China katika miaka hiyo kajenga mwelekeo wa taifa hilo, na akina Deng na akina Xi Jinping walipoingia wakaendeleza alipoishia Mao kwa kufanya kilichotakiwa kuendelezwa, na kubadili kilichotakiwa kubadilishwa kutokana na sababu mbalimbali katika nyakati husika.

Hapa kwetu, Mwalimu Nyerere alikuwa kaimrlisha vizuri sana umoja wetu, na mambo mengi mengine; lakini waloikuja baada yake wakaamua kwenda kivingine kabisa, na Samia sasa yeye anatuongezea matatizo zaidi, hata yale ambayo tayari tulikuwa tumekwisha ondokana nayo.
 
POle kwa hiyo kadhia, ila mimi sio kama unavyodhani. Nivile tu nimeamua kuwaza hivyo,

Alafu inamaana mtu yeyote mwenye mtazamo tofauti nawewe ni chawa?
Kumradhi pia ila naheshimu mawazo ya kila mtu. Nilimjibu Titicomb kwa sababu huwa yupo consistent sana kujibu na pia ni bro naemuheshimu sana japo sijuani nae nje ya kuziona comments zake.

Maandishi sometimes yanaongea 🙏🏽
 
MKuu kama ungeamua kusoma uzi kwa makini bila shaka ungeelewa vyema kile nimemaanisha, sijasema tusibadilishe rais, nimezungumzia juu ya matumaini butu yaliyopo miongoni mwa wengi.
Unakubali kiongozi anaweza kusababisha au kuongeza matatzo kwa wananchi wake?
 
Salam.

kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.

Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.

kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.

pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.

ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.

kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.

kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).

chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)

muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
Rais anayetakiwa Tanzania ni yule asiye na njaa
 
Fikra zako ni za hovyo kama uandishi wako usiozingatia Kanuni za uandishi/punctuation.
NB:Ufike ofisini kwangu nikufundishe kuandika/uandishi wa imla.
 
Sawa, huyo mama yako aliua watu ili iweje wakati hawezi kumaliza matatizo yote ya Tanzania?
Alitaka kujiandikia ka Hostoria kuwa mwanamke wa kwanza kufanya mauaji ya kutisha nchini.

Na kweli aliweza na Historia iliandikwa na kutuachia simanzi na vilio vya kutosha.
 
POle kwa hiyo kadhia, ila mimi sio kama unavyodhani. Nivile tu nimeamua kuwaza hivyo,

Alafu inamaana mtu yeyote mwenye mtazamo tofauti nawewe ni chawa?
Tukiachana na mawazo yako hata muandiko wako una kila harufu ya uchawa muheshimiwa.
 
Salam.

kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.

Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.

kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.

pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.

ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.

kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.

kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).

chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)

muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
Shida ipo hapa.
-Wizi wa chaduzi
-Utekaji na upotezaji raia (kisa serekali haitaki kusemwa inatoa adhabu nje ya mahakama)
-Ubambikaji kesi sababu ni ile ile hapo juu
-Matumizi ya hovyo.
 
shida sio rais wa kumaliza matatizo shida ni watanzania kupewa haki yao ya kuchagua
 
Back
Top Bottom