Umekomaa mwenyewe na mada za hivi. Lengo lako ni nini?. Unataka turidhike na viswaswadu wakati kuna smatifoni?salam.
kumek
Amani iwe nanyi..
Tatizo siyo rais wa kaimaliza matatizo ya watanzania.salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Amani iwe nanyi..
Nenda pale kenya ukajifunze ,unafikiria Lindu ni mtendaji mzuri ,huyo ni mwanasiasa ; porojo nyingi.Umekomaa mwenyewe na mada za hivi. Lengo lako ni nini?. Unataka turidhike na viswaswadu wakati kuna smatifoni?
Tumegoma viswaswadu,tunataka smatifoni. Period!Nenda pale kenya ukajifunze ,unafikiria Lindu ni mtendaji mzuri ,huyo ni mwanasiasa ; porojo nyingi.
Hao wakiingia agenda kubwa labda wavunje mikataba ili waanze upya ,labda wapewe angalau miaka 30 ...Sio rahisi kama unavyofikiria ,mtu kasomea sheria hana kipya wanasheria wote ni wazee wa asilimia 10 ndipo ulaji wao ulipo...
Huyu ana agenda nyeusi. Anataka tuendelee kuzubaa na viswaswadu milele wakati kuna smatifoniMjomba ndio umeandika Nini?
Kwa hivyo watu wasibadili raisi au siyo?
Hujui kitendo cha kiongozi kuwaza asipowajibika na kuwajibisha waliyo chini yake anaweza akapewa mtu mwingine hiyo nafasi yake basi yeye atawajibika na kupunguza matatizo yaliyopo wa kiasi kikubwa?
MKuu kama ungeamua kusoma uzi kwa makini bila shaka ungeelewa vyema kile nimemaanisha, sijasema tusibadilishe rais, nimezungumzia juu ya matumaini butu yaliyopo miongoni mwa wengi.Mjomba ndio umeandika Nini?
Kwa hivyo watu wasibadili raisi au siyo?
Hujui kitendo cha kiongozi kuwaza asipowajibika na kuwajibisha waliyo chini yake anaweza akapewa mtu mwingine hiyo nafasi yake basi yeye atawajibika na kupunguza matatizo yaliyopo wa kiasi kikubwa?
Sasa hivi mkuu uwe unawaangalia wa kujibu. Unadhani hawa machawa wote hawaoni kwamba jahazi linaelekea kuzama ?..Mjomba ndio umeandika Nini?
Kwa hivyo watu wasibadili raisi au siyo?
Hujui kitendo cha kiongozi kuwaza asipowajibika na kuwajibisha waliyo chini yake anaweza akapewa mtu mwingine hiyo nafasi yake basi yeye atawajibika na kupunguza matatizo yaliyopo wa kiasi kikubwa?
Daah!Sasa hivi mkuu uwe unawaangalia wa kujibu. Unadhani hawa machawa wote hawaoni kwamba jahazi linaelekea kuzama ?..
Wanajua ila uchawa ndio new standard ya kuonekana na sio merit. Kwa hiyo waache wafanye kazi yao maana kuna thread mbili tatu, nilicomment nikashangaa watu wawili wananifollow. Zote account mpya na hazina post wala comment hata moja.
Nikashangaa sana ila Mungu atuhurumie
Sawa, huyo mama yako aliua watu ili iweje wakati hawezi kumaliza matatizo yote ya Tanzania?salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.
pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.
ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.
kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.
kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).
chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)
muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
POle kwa hiyo kadhia, ila mimi sio kama unavyodhani. Nivile tu nimeamua kuwaza hivyo,Sasa hivi mkuu uwe unawaangalia wa kujibu. Unadhani hawa machawa wote hawaoni kwamba jahazi linaelekea kuzama ?..
Wanajua ila uchawa ndio new standard ya kuonekana na sio merit. Kwa hiyo waache wafanye kazi yao maana kuna thread mbili tatu, nilicomment nikashangaa watu wawili wananifollow. Zote account mpya na hazina post wala comment hata moja.
Nikashangaa sana ila Mungu atuhurumie
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.Salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.
pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.
ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.
kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.
kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).
chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)
muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
Alipewa kitu asichomuduSawa, huyo mama yako aliua watu ili iweje wakati hawezi kumaliza matatizo yote ya Tanzania?
Nani amesema anataka Rais amalize matatizo yote??Salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.
pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.
ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.
kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.
kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).
chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)
muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
Salam.