Salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.
pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.
ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.
kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.
kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).
chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)
muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
All we need to see is a good faith effort. Kwa sasa hatuoni hili. Matatizo yetu ni yale yale year in, year out—no one is making a good faith effort to solve them!Salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.
pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.
ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.
kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.
kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).
chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)
muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
Rais ndio tatizo la kwanza katika nchiSalam.

Unajiaibisha sana kama kiwango chako cha fahamu kipo hivi unavyojieleza hapa.Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
What we have creates more problems rather than even "making good faith effort"All we need to see is a good faith effort. Kwa sasa hatuoni hili. Matatizo yetu ni yale yale year in, year out—no one is making a good faith effort to solve them!
Hapana.Naomba nikujulishe pia kuwa;
Maendeleo unayo yaona China ya leo ni matokeo ya mapinduzi makubwa ya kiuchumi aliyoyafanya Rais wao aliyejulikana kama Mao Zedong, wakati akiwa madarakani kwa kipindi cha miaka 10 (1966 to 1976)
Bila serikali huwezi kufanikiwa, serikali ndio injini ya kufanikisha/kurahisisha mafanikio.. jamani tusomeHakuna serikali au mtu yeyote anayeweza kukufanya ufanikiwe zaid yako mwenyew kutumia kilichopo mbele yako kufanikiwa
upo sahihBila serikali huwezi kufanikiwa, serikali ndio injini ya kufanikisha/kurahisisha mafanikio.. jamani tusome
Tuishi tu na sikuliongelea popoteDaah!
Hiyo ya account mpya kuku-follow limenikuta pia.
Nadhani watu wa online surveillance hao au wanachukua maoni wapeleke jikoni.
Kumradhi pia ila naheshimu mawazo ya kila mtu. Nilimjibu Titicomb kwa sababu huwa yupo consistent sana kujibu na pia ni bro naemuheshimu sana japo sijuani nae nje ya kuziona comments zake.POle kwa hiyo kadhia, ila mimi sio kama unavyodhani. Nivile tu nimeamua kuwaza hivyo,
Alafu inamaana mtu yeyote mwenye mtazamo tofauti nawewe ni chawa?
Unakubali kiongozi anaweza kusababisha au kuongeza matatzo kwa wananchi wake?MKuu kama ungeamua kusoma uzi kwa makini bila shaka ungeelewa vyema kile nimemaanisha, sijasema tusibadilishe rais, nimezungumzia juu ya matumaini butu yaliyopo miongoni mwa wengi.
Rais anayetakiwa Tanzania ni yule asiye na njaaSalam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.
pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.
ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.
kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.
kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).
chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)
muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
Anatupanga turidhike na vimbwenerehi wake.Umekomaa mwenyewe na mada za hivi. Lengo lako ni nini?. Unataka turidhike na viswaswadu wakati kuna smatifoni?
Fikra zako ni za hovyo kama uandishi wako usiozingatia Kanuni za uandishi/punctuation.Salam.
kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha.
Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni.
kwanza, baadhi ya matatizo husababishwa na raia wasio waaminifu.
pili, mfumo wa ulimwengu kwa sasa haupo huru moja kwa moja, kwani baadhi ya maitaifa makubwa hawapo tayari kusapoti nchi zinazochipukia, badala yake huzididimiza ili kuendelea kuzinyonya.
ingawa, ikiwa tutapata kiongozi mwenye nia njema ya maendeleo katika nchi anaweza kupunguza baadhi ya matatizo mengi tofauti na ilivyo sasa ila sio kuyamaliza.
kwa mfano 2030 mh. Tundu A. Lissu akawa rais, bado kutakua tu na malalamiko kama ilivyo sasa, kwani hiyo ndio historia ya hili taifa.
kumbuka kuna watu wanaoisapoti serekali ya sasa na hawa ndio watakao kosoa serekali ya T.A.L (au yeyote kutoka upinzani).
chakufanya, zingatia mahitaji ya muhimu yapatikane eneo lako, maji, umeme, shule, vituo vya afya n.k.
Haya mengine, ufisadi, sijui viongozi kumiliki majumba ya thamani, ni mambo ya kushughulika nayo taratibu lakini kwa uhakika. ( Hata wewe ungepata nafasi ya kula ungekula tu, hahahahahh...!)
muwe na sabato njema,
Amani iwe nanyi..
Alitaka kujiandikia ka Hostoria kuwa mwanamke wa kwanza kufanya mauaji ya kutisha nchini.Sawa, huyo mama yako aliua watu ili iweje wakati hawezi kumaliza matatizo yote ya Tanzania?
Kapotea njia maana watanzania tumesha amua kuwa liwalo na liwe tu atuachie Tanganyika yetuAnatupanga turidhike na vimbwenerehi wake.
Tukiachana na mawazo yako hata muandiko wako una kila harufu ya uchawa muheshimiwa.POle kwa hiyo kadhia, ila mimi sio kama unavyodhani. Nivile tu nimeamua kuwaza hivyo,
Alafu inamaana mtu yeyote mwenye mtazamo tofauti nawewe ni chawa?
Shida ipo hapa.Salam.