Huu ndio ujio wa Benpol baada ya picha za utupu. Amefaulu au amefeli?

Huu ndio ujio wa Benpol baada ya picha za utupu. Amefaulu au amefeli?

Hivi hayo mafuta aliyopakwa ndio ky au?
 
KYJelly.jpg
 
Nimemkumbuka mwanamuziki nguli wa Afrika kusini, marehemu Lucky Dube aliwahi kuwa na albamu akaweka picha yake juu kwenye cover, nadhani ilikuwa ni Prisoner ile albamu akiwa amefungwa mikono na kamba ya katani.

Sasa kama huyu wa kwetu kutaka kuonyesha uhalisia wa kutekwa ni mpaka uvuliwe nguo huo muda wa watekaji kukupaka mafuta ya alizeti kama mwanakondoo anayeandaliwa kuliwa wanaupata wapi?

Kukosea kakosea ila kawa kauzu tuu kukubali kosa. Uungwana ni vitendo, mbona yule bwana ameshika sehemu za mwenzake za kujisaidia haja ndogo na akaomba radhi kwa jamii na hali imetulia.
 
Attachments

  • LUCKY DUBE.jpg
    LUCKY DUBE.jpg
    3.5 KB · Views: 35
Uchi kakaa,mafuta kapaka kibaya zaidi hadi sehemu ya haja kubwa,alikuwa anaitangaza zaidi ya kazi hii
 
Nimemkumbuka mwanamuziki nguli wa Afrika kusini, marehemu Lucky Dube aliwahi kuwa na albamu akaweka picha yake juu kwenye cover, nadhani ilikuwa ni Prisoner ile albamu akiwa amefungwa mikono na kamba ya katani.

Sasa kama huyu wa kwetu kutaka kuonyesha uhalisia wa kutekwa ni mpaka uvuliwe nguo huo muda wa watekaji kukupaka mafuta ya alizeti kama mwanakondoo anayeandaliwa kuliwa wanaupata wapi?

Kukosea kakosea ila kawa kauzu tuu kukubali kosa. Uungwana ni vitendo, mbona yule bwana ameshika sehemu za mwenzake za kujisaidia haja ndogo na akaomba radhi kwa jamii na hali imetulia.
Mkuu umemalizaaaaa
d1f0e32ce0681f428cd00bb9a6e773a6.jpg
 
Wimbo mzuri hakuhitaji kufanya yote hayo, Mimi ni miongoni mwa watu walioshangazwa na hawakutegemea kwamba Ben Pol anaweza kufanya hivyo so nimemshusha vyeo
Sanaa ni nini?
What is literature?
 
Wimbo mzuri hakuhitaji kufanya yote hayo, Mimi ni miongoni mwa watu walioshangazwa na hawakutegemea kwamba Ben Pol anaweza kufanya hivyo so nimemshusha vyeo
Usije kuwaamini wanamuziki wa bongo hawana tofauti na wanasiasa.
 
Sasa wimbo wenyewe mbona wa kawaida sana!
Ndio huo umemfanya akakaa uchi!
 
Jamani mbona povu linawatoka !! Kwani uchi wa mwanamme unaanzia wapi na kuishia wapi ?? Mbona mimi sijaona hayo matako mnayo yajadili ?? Wimbo mzuri tu , labda music system zenu ni zambao na spika mbovu zinakoroma tu. Achene roho mbaya , wabongo banaa !!
 
Yani nimemsikia jana akijieleza kwenye jahazi nikaona zile akili ni za kibashite kabisa... aliongea utumbo tu, eti unatafuta uhalisia kwa kujipaka mafuta
 
Hakukua na sababu ya kupakwa mafuta makalio kwa wimbo huu
 
Jamaa ana sauti nyororo na anaongea kizembe sana halafu anatafuta kiki kwa kupakwa mafuta. Huyu tukimhisi choko tusilaumiwe.

Mkuu hawa waimba r&b si huwa wanakunywa mayai mabichi kuilainisha sauti!!! ........
 
Back
Top Bottom