Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana aliterezeshaMe najiuliza aliyempaka wese tu kuelekea mstari wa ikweta
Mkuu umemalizaaaaaNimemkumbuka mwanamuziki nguli wa Afrika kusini, marehemu Lucky Dube aliwahi kuwa na albamu akaweka picha yake juu kwenye cover, nadhani ilikuwa ni Prisoner ile albamu akiwa amefungwa mikono na kamba ya katani.
Sasa kama huyu wa kwetu kutaka kuonyesha uhalisia wa kutekwa ni mpaka uvuliwe nguo huo muda wa watekaji kukupaka mafuta ya alizeti kama mwanakondoo anayeandaliwa kuliwa wanaupata wapi?
Kukosea kakosea ila kawa kauzu tuu kukubali kosa. Uungwana ni vitendo, mbona yule bwana ameshika sehemu za mwenzake za kujisaidia haja ndogo na akaomba radhi kwa jamii na hali imetulia.
Sanaa ni nini?Wimbo mzuri hakuhitaji kufanya yote hayo, Mimi ni miongoni mwa watu walioshangazwa na hawakutegemea kwamba Ben Pol anaweza kufanya hivyo so nimemshusha vyeo
Usije kuwaamini wanamuziki wa bongo hawana tofauti na wanasiasa.Wimbo mzuri hakuhitaji kufanya yote hayo, Mimi ni miongoni mwa watu walioshangazwa na hawakutegemea kwamba Ben Pol anaweza kufanya hivyo so nimemshusha vyeo
Jamaa ana sauti nyororo na anaongea kizembe sana halafu anatafuta kiki kwa kupakwa mafuta. Huyu tukimhisi choko tusilaumiwe.