Huu ndio Ukristo wa kweli

Huu ndio Ukristo wa kweli

MANSOON WINDS zilileta Arabs na quran kwenye mashua.
Bila missionary huyo mungu mngemjulia wapi?

Mnauhakika gani bibilia na quran zilizoletwa na hao wageni hazikua edited kabla ya kusambazwa kwa kina juma mohamed na ezekiel?

China, Japan, Thailand hawakuruhusu “introduction of new religion” ndio maana wanasonga mbele kila kukicha
 
Science imeshindwa kuprove uhai?

Unaelewa hata science ni kitu gani
Ukubali ukatae utaona bado sayansi nayo inabase kwenye assumptions kwa sehemu fulani. Kuna mahali inaishia.

Sayansi haiwezi kukupa hekima, Hekima ipo kwa Mungu tu,
 
Kiukweli hii dini utapeli mwingi sana
Ukifuata maagizo ya Mungu huwezi kukaa ukalalamika vitu kama hivi. Hata kama watu watajifurahisha kupitia matoleo yako, hayo si ya kwako!

Mungu atahangaika nao, wewe umeshafanya sehemu yako.
 
MANSOON WINDS zilileta Arabs na quran kwenye mashua.
Bila missionary huyo mungu mngemjulia wapi?

Mnauhakika gani bibilia na quran zilizoletwa na hao wageni hazikua edited kabla ya kusambazwa kwa kina juma mohamed na ezekiel?

China, Japan, Thailand hawakuruhusu “introduction of new religion” ndio maana wanasonga mbele kila kukicha
Pamoja na hayo unayoita kuwa huenda kuna watu wamechakachua bado Biblia imetutabiria mambo mengi ambayo yameshatokea na yatakayotokea siku za mbeleni.

Wewe unaweza kututabiria hata mambo yatakayotokea mwezi ujao? Tiandikie uzi hapa mwezi ujao tuje tuufukue halafu uone kama hautaingia chaka.
 
Andiko Lako limelenga kuwasema wakatoliki sema umeogopa kua open..ila umeeleweka lengo lilikua kuusema ukatoliki na TEC.
Wafuasi wa nabii Ellen White wana ugomvi na wana wa Maria mama yake Yesu.
Hata hivyo bado wanakubali kuwa ukitaka biblia iliyoandikwa kwa tafsiri sahahihi basi tafuta biblia ya wakatoliki. Sasa unajiuliza kama hawa wangekuwa wapotoshaji waliwezaje kuyahifadhi kwa ushahihi maandiko ya Mungu kwa miaka zaidi ya 2000?
 
Tafuteni kazi halali za kufanya. Masuala ya kuwauzia wajinga maji, lesso, mafuta, chumvi, sabuni, nk kwa bei ya kulangua! Ni wizi na utapeli wa wazi kabisa.

Ningekuwa na mamlaka, ningewakamata wote huko mjini, na kuwapeleka mashambani mkalime.
Kuna hawa SAFINA REDIO Arusha ndio Matapeli kabisa

Kwanini wasikuambie ununue maji na kuombea peke yako?

Eti wanauza kalamu iliyotoka Israel au Lesso yenye upako

Ujinga na Dhambi tupu

DANIEL LEMA NA GENGE LAKO sijui mtajibu nini kwa kuwalangua na kuchukua pesa za watu masikini
 
Acha tu wapigwe mbuzi hao,ukiwazindua wanakuita kobaz
 
Wafuasi wa nabii Ellen White wana ugomvi na wana wa Maria mama yake Yesu.
Hata hivyo bado wanakubali kuwa ukitaka biblia iliyoandikwa kwa tafsiri sahahihi basi tafuta biblia ya wakatoliki. Sasa unajiuliza kama hawa wangekuwa wapotoshaji waliwezaje kuyahifadhi kwa ushahihi maandiko ya Mungu kwa miaka zaidi ya 2000?
Kama unataka tuzungumze kuhusu kanisa katoliki basi tulizungumzie kabla ya 321AD au Kabla ya huyo Mpagani Constantine hajaingia kanisani.

Maana yeye ndiye aliyetufikisha hapa leo.
 
Ukubali ukatae utaona bado sayansi nayo inabase kwenye assumptions kwa sehemu fulani. Kuna mahali inaishia.

Sayansi haiwezi kukupa hekima, Hekima ipo kwa Mungu tu,
Sayansi haijui kila kitu.

Thibitisha Mungu huyo kama yupo kweli katika uhalisia, na ukatae kwamba siyo hadithi za uongo na mawazo yako tu ya dhahania.
 
Kama zilivyoandikwa katika vitabu vya kutoka na kumbukumbu la torati 5 na Kutoka 20. Wala usiache amri yoyote kwa maana hakuna mahali popote kwenye Biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo wa Yohana ambapo amri hizo zilibadilishwa.
Nini kusudi la Agano Jipya?
Je wale wanaokula mdudu wanakiuka au?
 
Sayansi haijui kila kitu.

Thibitisha Mungu huyo kama yupo kweli katika uhalisia, na ukatae kwamba siyo hadithi za uongo na mawazo yako tu ya dhahania.
Wewe unadhani unaishi hapa duaniani kwa sababu ya uwezo wako?

Uumbaji pekee unatosha kumuelezea Mungu kwamba ni wa namna gani, Hakuna namna yoyote kwamba hii dunia ilijiumba, au vivivyomo ndani yake vilijiumba,

Mwanasayansi Gregg Braden ambaye alikuwa haamini katika uwepo wa Mungu, katika kufanya utafiti wake juu ya nguvu ya maombi, alishuhudia Miracles mbili tu na baada ya hapo mawazo yake ya kupinga kwamba Mungu haexist yaliyeyuka yote.
 
Nini kusudi la Agano Jipya?
Je wale wanaokula mdudu wanakiuka au?
Agano jipya limekuja kuongezea tu baadhi ya maelezo kutoka kwenye agani la kale.

Ndio maana Yesu alisema Katika Mathayo 5: 17-19 kwamba
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

Kuhusu Nguruwe ukiachana na ile mistari katika kitabu cha mambo ya walawi, Isaya pia imeongelea kuhusu hilo

Isaya 66:17 inasema "Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema BWANA."
 
Wewe unadhani unaishi hapa duaniani kwa sababu ya uwezo wako?

Uumbaji pekee unatosha kumuelezea Mungu kwamba ni wa namna gani, Hakuna namna yoyote kwamba hii dunia ilijiumba, au vivivyomo ndani yake vilijiumba,

Mwanasayansi Gregg Braden ambaye alikuwa haamini katika uwepo wa Mungu, katika kufanya utafiti wake juu ya nguvu ya maombi, alishuhudia Miracles mbili tu na baada ya hapo mawazo yake ya kupinga kwamba Mungu haexist yaliyeyuka yote.
Uumbaji wake upi

Unaweza thibitisha Mungu yupo!?
 
Uumbaji wake upi

Unaweza thibitisha Mungu yupo!?

Yafikirie haya mambo manne.

1. Uumbaji

Every Creation inademand Creator, Hii thread inaexist hapa ni kwa sababu mimi nimeiandika. Hata kama Science inatuambia kuna Chain of events ambazo zilifanyika mpaka dunia ikatokea lakini bado tutarudi kulekule kwamba lazima awepo aliyeinitiate hizo events hata kama ziliendelea zenyewe.

2. Uhai, nadhani unafahamu scientist wamejaribu sana kutengeneza uhai from soups na non living things zingine lakini haijawahi kuwork out. Law ya Biogenesis imeweka wazi kwamba maisha ni lazima yatokane na kitu chenye maisha. Na haijawahi kuwa proven otherwise. Hakuna namna kwamba Binadamu na viumbe hai vyote vilijiumba, maana yake yupo aliyevipa huo uhai ambaye ni Mungu.

3. Unabii

Biblia imetabiri mambo mengi sana, toka enzi hizo na hata katika maisha yetu ya sasa. Kitu ambacho kiuwezo wetu sisi kama binadamu hatuwezi.

4. Maombi yanayojibiwa.

Wapo watu wengi wanaomuomba Mungu na maombi yao yanajibiwa iwe ni kwenye vitu vidogo au hata vitu vikubwa hata leo hii.
 
MANSOON WINDS zilileta Arabs na quran kwenye mashua.
Bila missionary huyo mungu mngemjulia wapi?

Mnauhakika gani bibilia na quran zilizoletwa na hao wageni hazikua edited kabla ya kusambazwa kwa kina juma mohamed na ezekiel?

China, Japan, Thailand hawakuruhusu “introduction of new religion” ndio maana wanasonga mbele kila kukicha
Soma historia ya uislam china na japana we msomi usiyejua mambo
 
Back
Top Bottom