Nini maana ya kubatizwa?! Tuanzie hapaHiyo dhambi ya Adam unayo wewe kama nani? Na kama tunayo kwanini tunatofautiana life standard yamkini unaamini tunaishi katika adhabu ya dhambi ya Adam?
Acheni uzushi nyie
Tunajitangaza rasmi maana tumechoshwa na hekaya, mara mwezi ulimkata begani mtume mara ooh amemfufua mtu.AM JUST TIRED TO FOLLOW SOMEONE WHO TELL ME TO DISCOVER COLOR OF WINDHiyo Id name yako ni chama la wana..😅
Kwanini binadamu Anabatizwa?!Kiaje, unajuaje kama dhambi ya adam unayo
Kuenzi mila zilizowekwa na watu wa zamaniKwanini binadamu Anabatizwa?!
Duuh kweli mkuu bado unaishi nyuma ya muda!! Mtafute Mtu aliyeiva kiroho umuulize hilo swali naamini Utaelimika Zaidi.Kuenzi mila zilizowekwa na watu wa zamani
Huo ndio ukweli hauna ushahidi kwamba unatakaswa na dhambi, kwa hiyo mtu akifa hajabatizwa anakuwa amekufa na dhambiDuuh kweli mkuu bado unaishi nyuma ya muda!! Mtafute Mtu aliyeiva kiroho umuulize hilo swali naamini Utaelimika Zaidi.
Je watu waliofanya dhuluma za mali za watu kisha wakaja kuingiliwa na majambazi na kuuawa kwa dhulumati inakuwaje?HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA.
Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu.
Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya watu wanaogopa hata kuyasikia.
Lengo langu sio kuhimiza uasi wala ubaya ila napenda kusema ingependeza kila mtu aishi katika kile anachokiamini.
Lengo la maandiko yangu ni kuhimiza watu waache maigizo katika maisha yamkini wayafuate yale ambayo nafsi na mioyo yao inawasukuma kufanya pasipo kuwa na maigizo.
Kama unajijua wewe ni mtenda Mema basi ishi katika kutenda wema kila siku, kila dakika na kila saa, Tenda wema usiokusudia malipo.
Na kama wewe ni mtenda ubaya ishi katika ubaya, ishi katika visasi, ishi katika uovu ishi katika dhuluma, ishi katika ubinafsi uliotukuka! Acha kufanya maigizo ya kutenda wema fanya kile ambacho kinakupa furaha.
Lengo la kuyasema haya ni kukufungulia pasword ambayo Dunia ya mwanadam imemficha kumwambia ukweli.
1. HAKUNA SIKU ASILI ITAKULIPA JEMA KWA WEMA.
2. HAKUNA SIKU ASILI ITAKULIPA BAYA KWA UBAYA.
Hapa namaanisha kwamba kila jambo linalotokea katika maisha yako jua lilikuwepo katika mtililiko wa maisha yako.
Hakuna jambo litawahi kukutokea katika maisha yako kama matokeo ya Wema uliotenda au ubaya uliotenda.
Isipokuwa tu! Matokeo haya yanaweza kuonekana iwapo Ulimwengu utachukua hukumu ya matendo yako mfano ukitenda ubaya unaweza kushtakiwa kwa mjibu wa sheria za nchi uliyopo na ukaadhibika,
Vilevile ukitenda wema unaweza kulipwa wema na uliemtendea au mashahidi walioshuhudia wema wako.
Lakini tofauti na hapo Asili ya Dunia haijawai wala haitowahi ku repay chochote ulichowahi kufanya.
Wapo wengi wanaopitia mapito flani hadi mioyoni wanaanza kujihukujum kuwa pengine ni kwa sababu niliwahi kufanya kitu flani katika maisha ndio maana napitia haya... "Sio kweli"
Amini unachokipitia kilipaswa kikupitie ni mda wa wewe kupambana namna ya kujiokoa ila sio kukumbuka mapito yako.
Pia ukipata baraka amini ilipangwa utaipata isifikie mda ukaamini umebarikiwa kwa sababu ulijitoa kufanya jambo flani.. "sio kweli"
Sababu kuu ni kwamba wapo waliowahi kufanya wema au mazuri zaidi ya hilo ulilofanya wewe na hawajapata neema kama hiyo uliyopata wewe.
Pia wapo waliotenda maovu zaidi ya hayo yanayokusuta wewe hadi ukashindwa kusonga mbele ila bado wapo katika mstari ulionyooka na hakuna baya lolote lililowasibu na bado wanaishi vzuri sana.
Lengo langu sio kukufundisha wewe kutenda mabaya au kutenda wema.. no" Natamani tuwe na uwezo wa kuishi na kuitawala Dunia katika maisha yale yanayotupendeza wenyewe na sio kutawaliwa kifikra.
Ishi na Uelewa wako Mkuu. Samaki Mkunje Angali MbichiHuo ndio ukweli hauna ushahidi kwamba unatakaswa na dhambi, kwa hiyo mtu akifa hajabatizwa anakuwa amekufa na dhambi
Hata mm pia ni samaki ninahitaji kukunjwa angali mbichi lkn huwezi nkunja mpk univue.So ili univue lazm utege chambo, nshawishike na chambo,nifuate chambo, niimeze chambo kwa kuwa mm ni samaki mkubwa aina ya papa sivuliki kiurahisi kama dagaa inahtajika tuanze kushindana nguvu either unitoe nchi kavu au nikuingize baharini.Refer to debate law for more meaningIshi na Uelewa wako Mkuu. Samaki Mkunje Angali Mbichi
Nashindwa kukuelewa mkuu,wengi tujuavyo mtu utavuna ulichopanda, katika maisha yetu ndivyo ilivyo,na katika jamii yoyote watu uimizwa kufanya mema, ili wawe na matokeo chanya hapo baadae.HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA.
Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu.
Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya watu wanaogopa hata kuyasikia.
Lengo langu sio kuhimiza uasi wala ubaya ila napenda kusema ingependeza kila mtu aishi katika kile anachokiamini.
Lengo la maandiko yangu ni kuhimiza watu waache maigizo katika maisha yamkini wayafuate yale ambayo nafsi na mioyo yao inawasukuma kufanya pasipo kuwa na maigizo.
Kama unajijua wewe ni mtenda Mema basi ishi katika kutenda wema kila siku, kila dakika na kila saa, Tenda wema usiokusudia malipo.
Na kama wewe ni mtenda ubaya ishi katika ubaya, ishi katika visasi, ishi katika uovu ishi katika dhuluma, ishi katika ubinafsi uliotukuka! Acha kufanya maigizo ya kutenda wema fanya kile ambacho kinakupa furaha.
Lengo la kuyasema haya ni kukufungulia pasword ambayo Dunia ya mwanadam imemficha kumwambia ukweli.
1. HAKUNA SIKU ASILI ITAKULIPA JEMA KWA WEMA.
2. HAKUNA SIKU ASILI ITAKULIPA BAYA KWA UBAYA.
Hapa namaanisha kwamba kila jambo linalotokea katika maisha yako jua lilikuwepo katika mtililiko wa maisha yako.
Hakuna jambo litawahi kukutokea katika maisha yako kama matokeo ya Wema uliotenda au ubaya uliotenda.
Isipokuwa tu! Matokeo haya yanaweza kuonekana iwapo Ulimwengu utachukua hukumu ya matendo yako mfano ukitenda ubaya unaweza kushtakiwa kwa mjibu wa sheria za nchi uliyopo na ukaadhibika,
Vilevile ukitenda wema unaweza kulipwa wema na uliemtendea au mashahidi walioshuhudia wema wako.
Lakini tofauti na hapo Asili ya Dunia haijawai wala haitowahi ku repay chochote ulichowahi kufanya.
Wapo wengi wanaopitia mapito flani hadi mioyoni wanaanza kujihukujum kuwa pengine ni kwa sababu niliwahi kufanya kitu flani katika maisha ndio maana napitia haya... "Sio kweli"
Amini unachokipitia kilipaswa kikupitie ni mda wa wewe kupambana namna ya kujiokoa ila sio kukumbuka mapito yako.
Pia ukipata baraka amini ilipangwa utaipata isifikie mda ukaamini umebarikiwa kwa sababu ulijitoa kufanya jambo flani.. "sio kweli"
Sababu kuu ni kwamba wapo waliowahi kufanya wema au mazuri zaidi ya hilo ulilofanya wewe na hawajapata neema kama hiyo uliyopata wewe.
Pia wapo waliotenda maovu zaidi ya hayo yanayokusuta wewe hadi ukashindwa kusonga mbele ila bado wapo katika mstari ulionyooka na hakuna baya lolote lililowasibu na bado wanaishi vzuri sana.
Lengo langu sio kukufundisha wewe kutenda mabaya au kutenda wema.. no" Natamani tuwe na uwezo wa kuishi na kuitawala Dunia katika maisha yale yanayotupendeza wenyewe na sio kutawaliwa kifikra.
Wew hap0 unataka kusema nini sasa?Nini maana ya kubatizwa?! Tuanzie hapa
Je vip kuhusu watu wema ambao hawajadhulmu mtu waliowahi kuingiliwa na majambazi vilevile na wakaporwa na kuuwawa?Je watu waliofanya dhuluma za mali za watu kisha wakaja kuingiliwa na majambazi na kuuawa kwa dhulumati inakuwaje?
Ni sawa kabisa ukitenda wema kitakachokulipa ni wanadam wenye ushahidi na ulichofanya sio karma.Nashindwa kukuelewa mkuu,wengi tujuavyo mtu utavuna ulichopanda, katika maisha yetu ndivyo ilivyo,na katika jamii yoyote watu uimizwa kufanya mema, ili wawe na matokeo chanya hapo baadae.
Sawa lkn karma yaweza tangulia,then matendo mema au mabaya ufata,kupitia hiyo karma,ambapo watu ushuhudia kwa yale uliyofanya,pia kumbuka si wote watashuudia moja kwa moja,wengine watasimuliwa na kuamini hivi ndivyo,alivofanya fulani miaka kadhaa iliyopita.Ni sawa kabisa ukitenda wema kitakachokulipa ni wanadam wenye ushahidi na ulichofanya sio karma.
Je vip kuhusu watu wema ambao hawajadhulmu mtu waliowahi kuingiliwa na majambazi vilevile na wakaporwa na kuuwawa?