Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanaogopa kusema

Dhambi ya Asili ya binadamu kutoka kwa Babu yetu (Adam) kwanini imetupata mpaka sisi ambao hatukuifanya wala pengine hatuijui. Tuanzie hapo si unataka kuelimishwa?!
Ungejibu tu swal mbona liko waz? Acha kona kona πŸ˜‚πŸ˜‚.
Hiyo dhambi ya asili aliwaaminisha nani? Ni huko makanisan au?🀣
 
lugha nyepesi ni kuwa, watu wanaobadilisha gia angani siku zote ni kuwa wamekuwa mateka, yaani, being enslaved with the other against forces, na ndio maana the universe inakuwa inawaona kama vile masnitch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…