Huu ndio ukweli kuhusu Dini

🎯🎯🎯
 

Kiongozi, Mambo sio marahisi hivyo!!!
Mfano: Unatumia kigezo gani kuaminisha watu kuwa WEWE ndiye unajua ukweli kuhusu dini?
Ukitaka kuongelea masuala ya Dini, unatakiwa uwe umejipanga kisawa sawa na facts sio kulete porojo za kijiweni hapa kupotezea watu muda!!!
 
Za kuambiwa changanya na za kwako...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Logically, There is no existence without a Creator. Iyo ni ishara tosha kua ivi vitu viliumbwa apo kabla then vikapewa muendelezo(continuity) ndio maana watu huzaliana na mimea huendelea kuota hivyo basi hakuna uumbaji mpya, uumbaji wote ulishafanyika apo kabla.

Kama uumbaji upo basi pia Muumbaji yupo,Baada ya uumbaji alijipa maisha katika maumbile tofauti ya viumbe alivyoumba,kwa maana iyo wew ni Mungu na Mungu anaishi ndan yako na yupo katika kila kiumbe alichokiumba.
Uwepo wa Mungu na Uwepo wa dini havina uhusiano kabisa,Dini ina agenda yake tofauti
 
Juma na swaleh hawampendi wile na Charles wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele.

Why ? Muislamu anaona mwarabu ni ndugu yake mkristo anaona mzungu ni ndugu yake ndio maana waislamu utasikia pray for Palestinian na wakristo pray for Israel wakati congo na Somalia wanauwana waafrika hawana habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…