Huu ndio ukweli kuhusu Dini

Huu ndio ukweli kuhusu Dini

Dini zote ni utapeli tu, ukristu uliletwa na wakristu kutoka Ulaya na wale wakujiita wamisionari, the same to Muslim under Arabs.

Ukristu ni utamaduni wa kigeni kutoka Ulaya, na Islam ni tamaduni mpya kutoka Kwa waarabu, lengo la kuja Hawa wahuni afrika, ni kuchukua Malighafi, watumwa na mambo mengi ya kinyonyaji Kutoka afrika, kwahyo dini zilitumika kama kuwatishia afrika Ili watutawale vizuri..

Wakaandika script za kitapeli zikawekwa kwenye maandishi sahivi mnaita biblia au koloani..

Waafrika wakadanganywa eti ukitenda dhambi utaenda motoni , wakatengenezewa nadharia, eti Kuna Mungu., sijui Yesu , kuzimu, peponi , motoni, hivyo vyote vilitumika kuwatishia wa afrika, Ili watunyonye vizuri.. Walijenga makanisa, misikiti, shule , lengo ku preach utapeli kupitia nadharia ya Mungu..

Pia lengo lao kubwa, ni kuua tamaduni za mwafrika za kuabudu, waafrica tulikuwa tunaabudu miungu yetu, kama milima, miti mikubwa , tulikuwa na mambo yetu tunayaamini, na yalikuwa yanatusaidia kweli .

Kwahyo usidanganywe, hakuna mungu , hakuna Yesu, hakuna pepo, hakuna motoni, unaishi Kwa nadharia tu,

Kila ana picha ya mungu wake aliye mtengeneza kichwani( imaginary) but in real sence hakuna mungu,

Wewe uliwahi kumuona shetani? Au unapicha yako tu ya shetani kichwani kwako haha 🤣 kwamba shetani ana meno makubwa mawili, na mapengo, Lina sura mbaya , jitu Fulani hivi la kutisha

Mnapoteza muda huko makanisani na msikitini, mnapeliwa mnawafanya wengine wawe matajiri kupitia sadaka zenu

Ukifa habari yako imeisha , huendi popote, tena hauna tofauti kama kafa mbwa , au paka , maana na wewe ni mnyama tu , kama ng'ombe..

Jiulize kabla ya kutungwa mimba ulikuwa wapi, so the same applied ukifa ndio utakavyo feel before ya wewe kuwa mimba.. huendi motoni wala mbinguni..

Hawo wachungaji wenu wanamitunguli , wanatumia nguvu za Giza kuwapumbaza

Fanya maisha yako Kwa kutumia Common sense tu.
🎯🎯🎯
 
Kiongozi, Mambo sio marahisi hivyo!!!
Mfano: Unatumia kigezo gani kuaminisha watu kuwa WEWE ndiye unajua ukweli kuhusu dini?
Ukitaka kuongelea masuala ya Dini, unatakiwa uwe umejipanga kisawa sawa na facts sio kulete porojo za kijiweni hapa kupotezea watu muda!!!
 
Za kuambiwa changanya na za kwako...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: Mahondaw
 
Logically, There is no existence without a Creator. Iyo ni ishara tosha kua ivi vitu viliumbwa apo kabla then vikapewa muendelezo(continuity) ndio maana watu huzaliana na mimea huendelea kuota hivyo basi hakuna uumbaji mpya, uumbaji wote ulishafanyika apo kabla.

Kama uumbaji upo basi pia Muumbaji yupo,Baada ya uumbaji alijipa maisha katika maumbile tofauti ya viumbe alivyoumba,kwa maana iyo wew ni Mungu na Mungu anaishi ndan yako na yupo katika kila kiumbe alichokiumba.
Uwepo wa Mungu na Uwepo wa dini havina uhusiano kabisa,Dini ina agenda yake tofauti
 
Juma na swaleh hawampendi wile na Charles wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele.

Why ? Muislamu anaona mwarabu ni ndugu yake mkristo anaona mzungu ni ndugu yake ndio maana waislamu utasikia pray for Palestinian na wakristo pray for Israel wakati congo na Somalia wanauwana waafrika hawana habari.
 
Back
Top Bottom