Huu ndio umri halali wa le baharia

Huu ndio umri halali wa le baharia

Status
Not open for further replies.
Like a bear among deers..........out of shape and place

le%2Bmutuzii899.jpg
Aliwahi kuandika mwanasheria Alberto Msando, akaweka na hiyo picture, akasema, NI JAMBO JEMA WANAFUNZU KUKUTANA PAMOJA NA KUFURAHIA..... Nilicheka kufa.
 
Lakini hajawahi kukanusha chochote kile kuhusu umri wake.

Halafu kwani ajabu ni nini hapo?

Si umri tu...na kila mmoja ana wa kwake.

Wangapi humu tutaufikia huo umri?
\
kinachogomba hapa ni babu kuingia anga za wajukuu sasa wajukuu wanaona anawaletea mchele mchele wanauliza wakati wake alikuwa wapi au starehe hazikumkinai,wengine wakawa wanasajesti basi ahamie kwa wazee wenzie huko kwenye old is gold
 
Wabongo tunamajungu sana kwa LE AKILI KUBWAZZZ, ngoja marekani waje KUMCHUKUA ndio tutaona tulikuwa tunachezea shilingi kwenye tundu la choo

Ye hanaga habari. Yani comment moja tu hapa inamuongezea MAMILIONI huku ye ametulia zake DOWNTOWN na WABEBEZ WAKALI wanakula BATAZ UBATANI
kumbe nayeye nawapambe kama dai??komaa mwanangu
 
Le mutuz anasatahili heshima, ni mtu mzima sana, ingekuwa amri yangu anafaa apigiwe mizinga 21......
Shkamoo le mutuz
Birthday loading..... 25 June 😀

View attachment 352956

Yaani nusu karne plus 5 years
Mashallah mwenyezi Mungu kamjaalia.
Wangapi mtafikisha umri huo?.....

Namkumbuka zamaani akiendesha peugeot 504 mkoani.
Alipotoka melini nikamkuta na AUDI black mziki mkubwee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom