Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
Kwa kifupi kupenda sifa kunamponza huyu mzee, namuonea huruma kwa fedhea hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini yeye anajiita Akili KubwazzMbona ana akili za kitoto
Upo bendi gani ya taarab!?!?HuyuHuyu babu Instagram alini block kisa nilimpa ukweli wake sikumkopesha
Hii ni skendo? Kivipi?mangekimambi ni mwisho kaibua tena skendo nzito yaani sijui kapata wapi hii passport.
swissme
Akiwa busy na uvulana wewe kinakuuma nini hasa? Ni baba yako?Afu mwenyewe ndo yupo busy na uvulana!!! au kwenye ujana hakuyafanya?
U are welcome mkuuDuuh ahsante mkuu. Nilibugi
Ni beki tatu huko aliko hawezi kulala.Hivi huyo mange huwa analala saa ngapi? Watu marekani tumelala unaamka asubuhi unakuta huyu mama kapost mavitu saa nane za usiku saa tisa mpaka kumi! Hivi huyu mama ana maisha mengine zaidi ya social network?? Kweli mzungu alipatikana aise. Huyu dada ni zaidi ya jipu uchungu.