Habari kwenu,
Mwanamke mrembo wa kiafrika ana hali ya kujikubali na kujiamini hivyo ataepuka kuweka vitu vifuatavyo kwenye mwili wake:
1. Mawigi (Nywele bandia)
Mwanamke anapoweka mawigi anakuwa ameondoa urembo wake kwa sababu yeye anakuwa hajiamini na sura yake na ndio maana anaweka mawigi.Kama wewe mwenyewe hujikubali kimaumbile nani akukubali?Pia yale mawigi huwa yananuka na kusababisha wanayoyavaa kuwa na harufu kama ya beberu.
2. Hawezi kuchubua ngozi ili afanane na wazungu kwa kufanya hivyo mwili wake unakuwa na mabakamabaka kama kenge na kuondoa urembo wa kiafrika.
3. Hawezi kujikondesha kondesha.
Mwanamke mrembo anaacha mwili wake uonekane kama uhalisia alivyoumbwa na Mwenyezi Mungu.
4. Kujichorachora marangi au tatoo na kusababisha waonekana kama makahaba.Mimi binafsi mwanamke mwenye totoo huwa namuona ni kahaba.
Napenda mwanamke wa kiafrika kama alivyo bila kuongeza madubuasha niliyoyataja hapo juu.
Kama unabisha njoo ubishe kwa hoja na kama unaunga hoja karibu ili tuweze kutokomeza vitu dada zetu wanavyofanya na kuharibu urembo wao.