Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli kabisa maccm yalizugwa na shanga...utajiri wetu ukayoyoma
Sio lazima mwanzo ilikuwa shanga, wangeweza wakawa wanafunga mbegu na kutumia vitu halisia.
Mbona unazo?
sawa mama beads is from middle east .... even research show that .... though we try to made our own beads from animal borns but we fail... stay blessed
In reality Binadamu is not an Island..., kila Culture ni mchanganyiko wa mambo ya sehemu tofauti ambayo yanabadilika kutokana na wakati na imitation kutoka sehemu tofauti. Am sure ukiangalia unaweza ukakuta vyote vinavyofanyika sasa our great great grandparents hawakufanya hata moja na hata huko magharibi kuna vitu kwenye utamaduni wao wa sasa ambavyo mababu zao hawakuwa navyo kwahiyo kuiga mazuri / kuboresha maisha sio vibaya ndio part ya civilization na kupata jambo bora zaidi.Umenena vyema kabisa, wakaona mbegu hazipendezi walipoletewa shanga ndio ikawa utamaduni wao wa kubambikiwa au sio? Naa ndiyo mpaka leo kuna watu wanafikiri shanga za rangi rangi ndio utamaduni wa Kiafrika na wakathubutu mpaka kuweka picha humu wakionesha eti utamaduni wetu. Inanshangaza sana, nilifikiri mababu na mabibi zetu walikuwa wakidanganywa, kumbe kuna wengi mpaka leo hii.
sawa mama mkubwaNi vyema umekubali kuwa shanga ulizotuwekea picha si utamaduni wetu.
Utamaduni wetu ni huo niliokuwekea picha, kuchonga meno, kujichana nyuso na sehemu zingine, kugegeda na kadhalika, siku nyingine inabidi ujifanyie ki research japo cha dakika tano kabla hujakurupuka.
In reality Binadamu is not an Island..., kila Culture ni mchanganyiko wa mambo ya sehemu tofauti ambayo yanabadilika kutokana na wakati na imitation kutoka sehemu tofauti. Am sure ukiangalia unaweza ukakuta vyote vinavyofanyika sasa our great great grandparents hawakufanya hata moja na hata huko magharibi kuna vitu kwenye utamaduni wao wa sasa ambavyo mababu zao hawakuwa navyo kwahiyo kuiga mazuri / kuboresha maisha sio vibaya ndio part ya civilization na kupata jambo bora zaidi.
What's wrong ni wale watu wanaosema kila kibaya au kisichowapendeza wao eti sio utamaduni wetu...., yaani wanataka watu waishi / wavae vile wanavyopendezwa wao kana kwamba wale wanaovaa tofauti ni malimbukeni na wanaiga au wanafanya tu sababu nchi nyingine zinafanya na sio kwamba wanapendezwa na kile wanachofanya. Different Strokes for Different Folks..., na hili neno utamaduni nadhani lisiwe fimbo ya kuwapigia watu sababu in the dark ages.., sidhani kama kuna mtu angependa kurudi huko na hio sio kwa waafrika tu.., sababu hata huko magharibi na so called first world countries ... walikotoka kunatisha vilevile...
Kama unakana kuwa shanga sio utamaduni wa Waafrika kwasababu hatutengenezi shanga hapa kwetu vipi unasema kuwa kwa Waislam utamaduni wao ni Uislam na haijalishi mmetokea wapi?Unayoyasema wewe ni hayo hayo nnayoyasema mimi. Tusijidai sana kuwa na utamaduni wetu pekee wakati huohuo tunaonesha picha zinazoonesha natives wamevaa shanga za rangi rangi ambazo hata kiwanda chake hatuna.
Tamaduni ni kama nilivyoweka definitions zake huko juu.
Kwa sisi Waislaam, utamaduni wetu ni Uislaam na mafundisho yake, haijalishi tumetokea wapi na tuko wapi.
Nnazo nini? ningekuwa nazo si ungeona nna kiwanda japo cha kutengeneza sindano? tunazo za kututosha kula, kulala, kuandika utumbo mitandaoni.
Mleta mada kajipange upyaaaaaaaaa....
Mwanamke kujiremba babu, natural iachie misitu
In reality Binadamu is not an Island..., kila Culture ni mchanganyiko wa mambo ya sehemu tofauti ambayo yanabadilika kutokana na wakati na imitation kutoka sehemu tofauti. Am sure ukiangalia unaweza ukakuta vyote vinavyofanyika sasa our great great grandparents hawakufanya hata moja na hata huko magharibi kuna vitu kwenye utamaduni wao wa sasa ambavyo mababu zao hawakuwa navyo kwahiyo kuiga mazuri / kuboresha maisha sio vibaya ndio part ya civilization na kupata jambo bora zaidi.
What's wrong ni wale watu wanaosema kila kibaya au kisichowapendeza wao eti sio utamaduni wetu...., yaani wanataka watu waishi / wavae vile wanavyopendezwa wao kana kwamba wale wanaovaa tofauti ni malimbukeni na wanaiga au wanafanya tu sababu nchi nyingine zinafanya na sio kwamba wanapendezwa na kile wanachofanya. Different Strokes for Different Folks..., na hili neno utamaduni nadhani lisiwe fimbo ya kuwapigia watu sababu in the dark ages.., sidhani kama kuna mtu angependa kurudi huko na hio sio kwa waafrika tu.., sababu hata huko magharibi na so called first world countries ... walikotoka kunatisha vilevile...
Nenoooo
Kunuka ni uchafu sio sabab ya weaving na unene au wembamba ni uumbaji wa Mungu.
ni kweli kabisa maccm yalizugwa na shanga...utajiri wetu ukayoyoma