Huu ndio urembo wa mwanamke wa kiafrika halisi

Huu ndio urembo wa mwanamke wa kiafrika halisi

mbona huwa mnatutongoza hivo hivo na nywele zetu za bandia!!!!
 
Utamaduni wa kiafrika umekuwa modified na wazungu...

1. Wakati tukijipaka matope ili tupendeze, wao wametengeneza creams and lotions..

2. Wakati tukijipaka mafuta ya ng'ombe tunukie, wao wametengeneza perfumes na deodorants..

3. Wakati tukivaa majani vichwani, wao wametengeneza weavings..

4. Wakati tukicheza ngoma, wao wanacheza modern discotheques..

And alikes...

Ngoma droo.. Hamna mtu wa asili unless ubaki kama ulivyozaliwa..
 
Hapo kwenye Bold hapo, nina hakika hukiamini ukisemacho, tuwaache pekee yenu, unataka mambo ya Cameroon au!? Ni lazima uwe na mtu bwn (Men) let us be serious!

ha ha ha ha never mambo ya cameroon...tunataka soko huria kila mtu awe na shepu yake aipendayo na nyie msitulalamikie tafuta wa chguo lako....wewe kipenda mwembaba mwenzio apenda mnene

kila mwanaume ana chaguo la shepu aipendayo..
 
Jibu swali, kuna kiwanda cha shanga Tanzania na au Afrika?

Kama hakuna, ujuwe hiyo ni tamaduni ya kubambikiwa nawe umeingia kichwa kichwa kama babu na bibi zako.

Tamaduni zetu ni kutembea uchi na kujikatakata mwilini kujipamba, kujipaka udongo na mavi ya ng'ombe kurembesha nywele. Kujichonga meno kama nyerere na kujibandika ndonya kurembesha midomo.

Fanya hayo sasa, ndio utakuwa umeitendea haki "culture" yako.

no research no right to talk .....
 
habari kwenu,

mwanamke mrembo wa kiafrika ana hali ya kujikubali na kujiamini hivyo ataepuka kuweka vitu vifuatavyo kwenye mwili wake:

1. Mawigi (nywele bandia)
mwanamke anapoweka mawigi anakuwa ameondoa urembo wake kwa sababu yeye anakuwa hajiamini na sura yake na ndio maana anaweka mawigi.kama wewe mwenyewe hujikubali kimaumbile nani akukubali?pia yale mawigi huwa yananuka na kusababisha wanayoyavaa kuwa na harufu kama ya beberu.

2. Hawezi kuchubua ngozi ili afanane na wazungu kwa kufanya hivyo mwili wake unakuwa na mabakamabaka kama kenge na kuondoa urembo wa kiafrika.

3. Hawezi kujikondesha kondesha.
Mwanamke mrembo anaacha mwili wake uonekane kama uhalisia alivyoumbwa na mwenyezi mungu.

4. Kujichorachora marangi au tatoo na kusababisha waonekana kama makahaba.mimi binafsi mwanamke mwenye totoo huwa namuona ni kahaba.

Napenda mwanamke wa kiafrika kama alivyo bila kuongeza madubuasha niliyoyataja hapo juu.

Kama unabisha njoo ubishe kwa hoja na kama unaunga hoja karibu ili tuweze kutokomeza vitu dada zetu wanavyofanya na kuharibu urembo wao.
kla mwanaume anapenda amwone mke wake ktka stail anazopenda yy sio lazma kla mtu awe yuko kama ww...ukiona msichana kafanya kitu chochote ktk mwl wake jua kuna mtu anampush kufanya hvo.wigs ni style tu ya nywele na weng huvaa coz 1; nywele zao ni fup .2;anapumzika kuchanachana nywele zake.3;kubadilisha mwonekano. unene ;si kweli kuwa kla mwanamke wa kiafrika ni mnene wengne ni wembamba bla hata ya mazoez ,kiafya unene kupita kiasi ni maradhi tu. kujichubua; hapo nakubaliana na ww kuwa si vema, tubaki na rangi zetu huwa zna mvuto sana. Tatoo; hazipendezi kwa kweli labda kama kuna occasion inayohitaj utoke hvo.
 
napingana na wewe hiyo namba 3 eti kunenepeana ndo murembo mwili wawastani .,,,,,,.......... mwanamke lazima ajipambe kuweka nywele bandia nayo ni moja ya vitu vya kupambia..

kuchora tatooo pia ni tamaduni ya baadhi ya african culture na kama ni mfuatilaji mzuri wa history nadhani ungejua aili ya tatooo is from where?
View attachment 144366 View attachment 144367 HAWA NI WAREMBO NAONA LKICHWANI KUNA BANDIA NA TATOOO ZIPO PIA

Hapo kwenye nywele bandia pananikera , yan bas tu kila dem sio dem wangu , ila wote wangekuwa wangu ningewakomesha na hiyo minywele ... kitu natural af kimechanuaaa ndo mpango mzima
 
Hapo kwenye nywele bandia pananikera , yan bas tu kila dem sio dem wangu , ila wote wangekuwa wangu ningewakomesha na hiyo minywele ... kitu natural af kimechanuaaa ndo mpango mzima

hahaha a ha ha ha haha!!!!! mkomeshe mkeo tu aisee... kwa sababu nahisi unacheat na unatongoza vibinti vilivyo artificial kuanzia kichwani mpaka papuchi
 
hahaha a ha ha ha haha!!!!! mkomeshe mkeo tu aisee... kwa sababu nahisi unacheat na unatongoza vibinti vilivyo artificial kuanzia kichwani mpaka papuchi

Artificial na love nawapa artificial ,,, ok the point is lazima kuwe na limit ya mapambo bwana , kuna maduu hasa hasa wa uswaz unakuta ameji edit kawa kama kenge vile na rangi kibao , af amekomaa kurudisha wigi la nywele nyuma utadhan zake .. urembo ni msosi mzuri (diet), malazi mazuri , af stresa free na ka mkorogo ka kijanja ! For sure God is a perfect creator yan kila binti ana mvuto wake na ki ukweli excess editing inaharibu , badala yake sasa unakuta mtu ametupia kikuku kinambanaaa , nywele ndefuu fake , rangi tofauti tofauti kuanzia kope, jicho , mdomo n.k af jua kali (hii sana sana ipo daslam)... yan agrrrrrrrr nna hasira nao ...
 
Artificial na love nawapa artificial ,,, ok the point is lazima kuwe na limit ya mapambo bwana , kuna maduu hasa hasa wa uswaz unakuta ameji edit kawa kama kenge vile na rangi kibao , af amekomaa kurudisha wigi la nywele nyuma utadhan zake .. urembo ni msosi mzuri (diet), malazi mazuri , af stresa free na ka mkorogo ka kijanja ! For sure God is a perfect creator yan kila binti ana mvuto wake na ki ukweli excess editing inaharibu , badala yake sasa unakuta mtu ametupia kikuku kinambanaaa , nywele ndefuu fake , rangi tofauti tofauti kuanzia kope, jicho , mdomo n.k af kuna vile vidude wanafunga mguuni kama shanga isee .. yan agrrrrrrrr nna hasira nao ...
 
Artificial na love nawapa artificial ,,, ok the point is lazima kuwe na limit ya mapambo bwana , kuna maduu hasa hasa wa uswaz unakuta ameji edit kawa kama kenge vile na rangi kibao , af amekomaa kurudisha wigi la nywele nyuma utadhan zake .. urembo ni msosi mzuri (diet), malazi mazuri , af stresa free na ka mkorogo ka kijanja ! For sure God is a perfect creator yan kila binti ana mvuto wake na ki ukweli excess editing inaharibu , badala yake sasa unakuta mtu ametupia kikuku kinambanaaa , nywele ndefuu fake , rangi tofauti tofauti kuanzia kope, jicho , mdomo n.k af jua kali (hii sana sana ipo daslam)... yan agrrrrrrrr nna hasira nao ...

sasa hapo wengine wana overdo kwa kweli... ila sasa mkuu usikasirike ni biashara za watu waache wajitundike hadi papuchi bandia amuna shida.... afu umesahau kalio mchina , nyonyo mchina loh mnalo wanaume
 
Hivi Tanzania kuna kiwanda cha shanga? au ndio hizo walizugwa nazo mababu na mabibi zetu wazungu wakawa wanajichotea utajiri? eti leo tunasema ndio utamaduni wetu! Unanchekesha.
ni kweli kabisa maccm yalizugwa na shanga...utajiri wetu ukayoyoma
 
no research no right to talk .....

Research si lazima iwe kama ufikiriavyo, simpo, Jee, una kiwanda cha shanga Tanzania? mimi nasema hakuna sasa wewe nioneshe kilipo. Halafu jiulize hizo shanga ni utamaduni wa nani?

Hujaona Watanzania wanaojichana ngozi, kujichoma vipaji vya uso? kuchonga meno? Reseach hii hapa, tazama hizi picha niambie unachokiona:

Research si lazima iwe kama ufiriavyo, simpo, Jee, una kiwanda cha shanga Tanzania? mimi nasema hakuna sasa wewe nioneshe kilipo. Halafu jiulize hizo shanga ni utamaduni wa nani?

Hujaona Watanzania wanaojichana ngozi, kujichoma vipaji vya uso? kuchonga meno? Reseach hii hapa, tazama hizi picha niambie unachokiona:

sawa mama beads is from middle east .... even research show that .... though we try to made our own beads from animal borns but we fail... stay blessed
 
Back
Top Bottom