Huu ndio Usalama wa mwanaume

Huu ndio Usalama wa mwanaume

Kabisa wake wa matajili wanaliwa na wasukuma mkokoten hii ni Kutokana matajili wanawaza noti TU siyo k
 
Mama ako alikuzaa kupitia kiungo gani we nyau? kabla ya kufikiria kutukana Wanawake mfikirie kwanza Mama yako😏

Kua na Adabu na sehemu iliyokufanya ukawepo hapa Duniani

Jifunze kuheshimu wanawake☹️
Mama ako alikuzaa kupitia kiungo gani we nyau? kabla ya kufikiria kutukana Wanawake mfikirie kwanza Mama yako😏

Kua na Adabu na sehemu iliyokufanya ukawepo hapa Duniani

Jifunze kuheshimu wanawake☹️
Nimewadharau wapi
 
Mama ako alikuzaa kupitia kiungo gani we nyau? kabla ya kufikiria kutukana Wanawake mfikirie kwanza Mama yako😏

Kua na Adabu na sehemu iliyokufanya ukawepo hapa Duniani

Jifunze kuheshimu wanawake☹️
Wap me wazarau bibiye
 
Umakini maana unatafta hela unagawana na Malaya wanawake wa Tz na unapata ST1
 
Mama ako alikuzaa kupitia kiungo gani we nyau? kabla ya kufikiria kutukana Wanawake mfikirie kwanza Mama yako[emoji57]

Kua na Adabu na sehemu iliyokufanya ukawepo hapa Duniani

Jifunze kuheshimu wanawake[emoji3525]
Sijaona kosa la mleta mada mpaka umuwakie hivi
 
Mama ako alikuzaa kupitia kiungo gani we nyau? kabla ya kufikiria kutukana Wanawake mfikirie kwanza Mama yako😏

Kua na Adabu na sehemu iliyokufanya ukawepo hapa Duniani

Jifunze kuheshimu wanawake☹️
Kama kazaliwa kwa upasuaji je.
 
Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla..

Na tumai mko salama wote ,
Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana.

Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana na kufanya ngongo isiyo salama.

Kuna Kila sababu wanaume kujali sana afya zetu Ili tudumu Kwa mda mrefu.
Hivi karibuni nimegundua hili Baada ya kushambuliwa na magonjwa ya ngono zembe, kwanza kabisa nimegundua uume hauamki kama unamatatizo ya magonjwa ya kingono ngono.

Na mshukuru Mungu Now nimepona hivyo ni meona vema kuwashirikisha vijana tusiwe na haraka na ngono Ili tusipate matatizo makubwa, magine uume wangu ulikuwa unaamka Kwa shida ila now Toka ni pone unakaa Uko juujuu kama ngoma za daku tofauti na hapo awali.

Kwa wakati huu Nakalinda sana haka kadudu kama yai maana magonjwa Yapo ndugu zanguni.

Mambo ya kuwekeana vidudu siyo poa kabisa tujilinde sana Ili tufike uzeeni.

Nawasilisha kwenu wakorintho.[emoji119]
I'm sure ilikuwa ni gono
 
Pole sana, tatizo bindamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom