Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Kwanza nimemkuta anahuzuni sana.....
Nikamuuliza, shemeji kwamba tatizo nini..??
Akanijibu kwamba Peter kampa ujauzito.
Sasa mimi nikamwambia kwamba.... kama Peter alimkana Jizas mara tatu, hiyo mimba ataikubali kweli...🤔
Au nimemshahuri vibaya wakuu....🙄