Huu ndio ushauri pekee aliopewa Mkapa na Mwalimu Nyerere alipokuwa akiunda serikali yake 1995

Ila mwalimu bwana alikuwa ana bonge la maushauri sijui wengine wanakwama wapi

Nilimsikia mzee mmoja mstaafu eti anashauri kiongozi aliyepo aomgezewe zaidi ya miaka 10 wakati yeye miaka yake ilipoisha alitoka nduki Kali na sasa hivi anakula bata batani haguswi na yeyote
 
Sikuuliza hilo la ushauri kuwa 'valid' lini au bado uko 'valid' leo. Tafadhali nielewe.

Labda nikupe 'hint' kidogo ndipo utaelewa.

Huyo aliyepewa ushauri huo hapo 1995, na yeye leo anatoa ushauri huo huo kwa mtu wake?

Hapo ndipo ulipokosea kabisa tena kabisa,sisi hatupangiwi ebu.
 
😀😀😀😀
Rais akitoka upande mmoja wa muungano basi makamu wake atatoka upande wa pili.

Tunaweza kumpatia uraia wa upande wa pili nani kakwambia hilo linashindikana.Ikiwa mbunge kajivua uanachama halafu anarejeshwa bungeni kwa nguvu huku akidai yeye mwenyewe alishaondoka nini kinashindikana.
 
Ni kweli kabisa, hakuma linaloshindikana nchi hii.
 
Ila mwalimu bwana alikuwa ana bonge la maushauri sijui wengine wanakwama wapi

Nilimsikia mzee mmoja mstaafu eti anashauri kiongozi aliyepo aomgezewe zaidi ya miaka 10 wakati yeye miaka yake ilipoisha alitoka nduki Kali na sasa hivi anakula bata batani haguswi na yeyote
Ni kweli kabisa, mwalimu alikua anaona mbali sana. Unaweza sikiliza hotuba yake ya mwaka 67 ukabaki mdomo wazi.
 
Kabla ya kuchukua fomu ya kugombea urais wa JMT, Ben Mkapa aliamua kwenda kumuomba ushauri/ridhaa Mwalimu Nyerere kwa kumwandikia ujumbe na kuutuma butiama, lakini pia baadae Mkapa alipokutana na Mwalimu kwenye vikao vya chama Dodoma alipata wasaa mzuri wa kumweleza kwanini ameamua kugombea.

Mwalimu alimwelewa Ben na kumpa ushirikiano wa kutosha, baada ya kupata ushindi na kuapishwa kuwa rais wa awamu ya tatu 23/11/1995, mzee Mkapa aliona ni busara aonane na Mwalimu ili apate kumshukuru na pengine apante nafasi ya kushauriwa mawili matatu na mwalimu.

Walipoonana Mwalimu alimpongeza Ben kwa ushindi wake, kisha baada ya hapo Ben akamshukuru Mwalimu na akamuuliza, "Mwalimu unaushauri wowote juu ya nani awepo na nani asiwepo kwenye baraza langu la mawaziri?"

Mwalimu alimjibu hivi, "Ben, hili ni baraza lako, sio langu. Serikali yako sio yangu. Kwahiyo nenda ukaiunde. Ushauri pekee ninaoweza kukupa ni huu, kwanza, lazima ukumbuke kuwa nchi yetu ina jamii/makabila mengi, kwahiyo hauwezi kulipuuzia hili moja kwa moja, lazima ujaribu kutengeneza uwiano. Pili, pia tuna dini mbalimbali, tunazo dini kubwa mbili, hauwezi kupuuzia huo ukweli. Mbali na hayo, ni serikali yako, baraza lako, nenda kaliunde."

Hizi zilikua ni hekima na busara za mwalimu mwaka 1995, akijaribu kumwonesha njia sahihi kijana wake. Ni matumaini yangu kuwa kila atakayepata nafasi ya kukalia kiti kilichowahi kukaliwa na Mwalimu ataiona thamani ya ushauri huu.
He was a real Genius and a Father of our Nation
 
Tunaweza kumpatia uraia wa upande wa pili nani kakwambia hilo linashindikana.Ikiwa mbunge kajivua uanachama halafu anarejeshwa bungeni kwa nguvu huku akidai yeye mwenyewe alishaondoka nini kinashindikana.
Hakuna kinachoshindikana kufanyika nchi hii mbele ya mwenyekiti wa ccm hata corona tumeweza kuimaliza kwa kutumia mbinu rahisi kabisa ya kupima mapapai,mbuzi & oil hata kama machadema hayakutaka tuimalize
 
Kabla ya kuchukua fomu ya kugombea urais wa JMT, Ben Mkapa aliamua kwenda kumuomba ushauri/ridhaa Mwalimu Nyerere kwa kumwandikia ujumbe na kuutuma butiama, lakini pia baadae Mkapa alipokutana na Mwalimu kwenye vikao vya chama Dodoma alipata wasaa mzuri wa kumweleza kwanini ameamua kugombea.

Mwalimu alimwelewa Ben na kumpa ushirikiano wa kutosha, baada ya kupata ushindi na kuapishwa kuwa rais wa awamu ya tatu 23/11/1995, mzee Mkapa aliona ni busara aonane na Mwalimu ili apate kumshukuru na pengine apante nafasi ya kushauriwa mawili matatu na mwalimu.

Walipoonana Mwalimu alimpongeza Ben kwa ushindi wake, kisha baada ya hapo Ben akamshukuru Mwalimu na akamuuliza, "Mwalimu unaushauri wowote juu ya nani awepo na nani asiwepo kwenye baraza langu la mawaziri?"

Mwalimu alimjibu hivi, "Ben, hili ni baraza lako, sio langu. Serikali yako sio yangu. Kwahiyo nenda ukaiunde. Ushauri pekee ninaoweza kukupa ni huu, kwanza, lazima ukumbuke kuwa nchi yetu ina jamii/makabila mengi, kwahiyo hauwezi kulipuuzia hili moja kwa moja, lazima ujaribu kutengeneza uwiano. Pili, pia tuna dini mbalimbali, tunazo dini kubwa mbili, hauwezi kupuuzia huo ukweli. Mbali na hayo, ni serikali yako, baraza lako, nenda kaliunde."

Hizi zilikua ni hekima na busara za mwalimu mwaka 1995, akijaribu kumwonesha njia sahihi kijana wake. Ni matumaini yangu kuwa kila atakayepata nafasi ya kukalia kiti kilichowahi kukaliwa na Mwalimu ataiona thamani ya ushauri huu.
Ndio maana tunataka DJ awe Kiongozi, baada ya uchaguzi wa 2020
 
Wewe utakuwa sio mtanzania nini??? Hivyo hata joy usia wa Mwalimu utakuwa huelewi vizuri
Labda ni umri ndio unanitupa mkono, lakini enzi zetu DJ alikua ni 'Disc Jockey' na hakua na uhusiano wowote na mambo ya siasa za nchi.
 
Back
Top Bottom