Huu ndio Utabiri unaosubiriwa kutimia na walio wengi

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
Kuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jela (polepole September 14 Jumatatu saa 3 usiku na dakika 20)

Dalili zunaonesha muda sio mrefu hili litatimia kuanzia kwenye kelele za tume kua wahusika waadhiwe kwa haki na sio kutolewa kafara ukizingatia kesi ya ICC muda sio mrefu unaona wazi utabiri unatimia
 
Kuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jera (polepole september 14 jumatatu saa 3 usiku na dakika 20)
genteman,
kisayansi,
huo sio utabiri ni ramli.
 
Kuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jera (polepole september 14 jumatatu saa 3 usiku na dakika 20)
Mkuu umeandika nini au mimi ndio uelewa wangu mdogo
 
Uelewa wako mdogo kwenye ufuatiliaji hayo ni maneno aliyotamka polepole kabla hajatekwa alionya mambo mengi kua yatatokea kama vifo na nk bado hilo la watu kunyongwa
 
Aaah asante kwa kunielewesha
 
Back
Top Bottom