genteman,Kuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jera (polepole september 14 jumatatu saa 3 usiku na dakika 20)
Mkuu umeandika nini au mimi ndio uelewa wangu mdogoKuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jera (polepole september 14 jumatatu saa 3 usiku na dakika 20)
Aaah asante kwa kunieleweshaUelewa wako mdogo kwenye ufuatiliaji hayo ni maneno aliyotamka polepole kabla hajatekwa alionya mambo mengi kua yatatokea kama vifo na nk bado hilo la watu kunyongwa
okSayans ya siasa inaona hayo yatatokea