Huu ndio utafiti wa TASAF kuhusu maisha ya Watanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana !

Kailoga bila huruma kabisa !

Screenshot_2024-02-08-10-22-16-1.png
 
Buku Jero?!!🫣☹️ hebu tupeni na idadi ya Mabango na Machawa yaliyozalishwa na nani kama Mama?!
 
Ccm na serikali imessbabisha trafiki kudai rushwa kwa nguvu Dsm barabarani.Ongeni mishahara ya watumishi umma.
dhaifu kama wewe ndio watoa rushwa halafu unalalamika 🐒
 
Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana !

Kailoga bila huruma kabisa !

View attachment 2897839
Hakuna asiyejua kuwa we hamnazo. Hakuna serikali duniani inayokufanya kuwa maskini au tajiri. Sasa mtu km wewe ukiwa maskini ni haki yako. Siku nzima unashinda humu saa ngapi unafanya shughuli za uzalishaji. Unategemea kupewa kaposho na Chadomo kwa uzushi na upotoshaji unaouposti humu.
 
Mkuu sasa lawama za TASAF Napewaje mimi ?
 
Back
Top Bottom