Yeah kuna stori nyingi sana hapaDah mimi nikiwa na mda furaha yangu nikusoma comments zote na kujibu๐ค
Jf hata kama bado maisha yanachangamoto zake ila vilaza ni wachache mno na kuna wengine ni vipanga wa mada za hovyo ,hapo bado ni akili mingi bwasheeYeah kuna stori nyingi sana hapa
Hata kama nyinginze ni za uongo ila atleast ni watunzi wazuri ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ sio kama wale nina 30 natafuta bwana wa miaka 45 kuendelea
Vipi mkali wa mama kibena?๐Uzi juu ya Uzi. Kuna uzima kweli??
Mimi pia nna tabia hiyo, comment zinabeba mambo yote ndani yake, zinafundisha, zinapotosha, zinamizaha, zinachekesha, zinakera n.kDah mimi nikiwa na mda furaha yangu nikusoma comments zote na kujibu๐ค
utaka kusema ni mental case au?Uzi juu ya Uzi. Kuna uzima kweli??
Kabisa wasio soma comments sijui wanadai vipi wanaijua JamiiForums ๐คMimi pia nna tabia hiyo, comment zinabeba mambo yote ndani yake, zinafundisha, zinapotosha, zinamizaha, zinachekesha, zinakera n.k
Ule msoto wa pale uboizini ,sio mchezo inabidi siku moja tukawape madogo motisha๐Salama mzee ๐ ๐ ๐ ๐
Hatari sanaUle msoto wa pale uboizini ,sio mchezo inabidi siku moja tukawape madogo motisha๐
Hii ni nzuri mno na huwa najivunia niki like comment ya kila mtu ,ambae hataki sijamnyima kuni block mazima, kwa sababu hata mimi kuna viazi wa ccm nimewablock milele daima ,bwana yesu asifiwe.Mimi pia nna tabia hiyo, comment zinabeba mambo yote ndani yake, zinafundisha, zinapotosha, zinamizaha, zinachekesha, zinakera n.k
Huwa nawaza najiona hata mimi ni mtoto wa mbwa asee๐Hatari sana
๐ ๐ ๐ Cha msingi unapumua, mengine ni nyongeza tuHuwa nawaza najiona hata mimi ni mtoto wa mbwa asee๐
Sure bro yani umeongea jambo kubwa mno ๐ค๐ ๐ ๐ Cha msingi unapumua, mengine ni nyongeza tu
matunduiziHii ni nzuri mno na huwa najivunia niki like comment ya kila mtu ,ambae hataki sijamnyima kuni block mazima, kwa sababu hata mimi kuna viazi wa ccm nimewablock milele daima ,bwana yesu asifiwe.
Ameen...