min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Yeah chochote unacho amini wewe amini tu kitafanya kazi vizuri kabisa , siku unapata uthibitisho wa Mungu usisahau kuni tag hata mimi napenda hiyo mnayodai ni safari ya mbinguni ila sio kinyumbu nyumbu tu bila uthibitisho ,*****š¤£š¤£š¤£ kumradhi....Ameen...