Yeah chochote unacho amini wewe amini tu kitafanya kazi vizuri kabisa , siku unapata uthibitisho wa Mungu usisahau kuni tag hata mimi napenda hiyo mnayodai ni safari ya mbinguni ila sio kinyumbu nyumbu tu bila uthibitisho ,*****🤣🤣🤣 kumradhi....Ameen...
EIIIMEEEEN 😂Hii ni nzuri mno na huwa najivunia niki like comment ya kila mtu ,ambae hataki sijamnyima kuni block mazima, kwa sababu hata mimi kuna viazi wa ccm nimewablock milele daima ,bwana yesu asifiwe.
Sio jf tu mimi hata mitandao mingine nazisoma sana. Naweza nisisome mada yote ila nikaishi na comments.Kabisa wasio soma comments sijui wanadai vipi wanaijua JamiiForums 🤔
Sio jf tu mimi hata mitandao mingine nazisoma sana. Naweza nisisome mada yote ila nikaishi na comments.Kabisa wasio soma comments sijui wanadai vipi wanaijua JamiiForums 🤔
Upo kama mimi😁😁Sio jf tu mimi hata mitandao mingine nazisoma sana. Naweza nisisome mada yote ila nikaishi na comments.
Pamoja mkuuUpo kama mimi😁😁