Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Sasa 'KUZIBIKIRI' kwa Waarabu.

CtZyCN


===================

===================

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za Taifa katika michuano mbali mbali itakayokua inazikabili.

Uzinduzi huo wa jezi mpya uliofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro jengo la Golden Jubilee uliambatana na uziduzi wa tovuti mpya ya shirikisho, uliongozwa na mgeni rasmi Mh. Said Mtanda, mbunge wa jimbo la Mchinga na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya jamii.

Katika uzinduzi huo, kulizunduliwa jezi aina tatu, ambazo ni jezi za ugenini, jezi za nyumbani na jezi zitakazokuwa zikitumika kwa ajili ya mazoezi.


Chanzo: MwanaHalisi
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    44.1 KB · Views: 2,559
  • 2.jpg
    2.jpg
    43.7 KB · Views: 2,033
si muiite azam fc origin

rangizataifa mnazijua.au ndio mambo ya 10perc nakina nanii
Ndio maana kila mpenda soccer Tanzania anaombea Simba na yanga zife ili mpira uweze kuendelea!
Sasa utapata wapi nguo isiyokuwa na rangi!? Wangetumia pink mngesema Mbeya city

 
Yan jezi pair 4, duh kweli mlinzi noma sor malinzi
 
Jamani chezeni mpira wa umahiri..... siyo jezi hata Netiboli wanavaa jezi !!!!

Aibu tupu siasa mpaka kwenye michezo!!
 
Cjazipenda, hizi walikuwa wanavaa latest nadhani zilikuwa nzuri zaidi

Watu wanakomaa na Jezi unadhani jezi ndio Mpira
 
hao wote ni wachezaji wa mchangani uwanja wa barafu magomeni kwa nini wasiwatumie wachezaji wa timu ya taifa ?
 
Dah mpira umetushinda sasa tunaanza maonyesho ya jezi tu,watatukoma mwaka huu na uzi wetu mpya, timu mbovu
 
Back
Top Bottom