Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

nyie mnaouliza kwann hizo jezi hazijazinduliwa kwa kuvaliwa na wachezaji wa stars,Tuheshimu profesheno za watu jamani,wachezaji kazi yao ni kucheza,maswala ya mavazi ni kazi ya modals..
 
Kuna jamaa anafananisha na jezi ya Italy,so what?
Hapa uzlendo wa nchi upo wapi ktk jezi?
 
Sio lazima ila ni kajiutaratibu tu ambacho watu wamezoea, ila lazima iwe na bendera zipo team kubwa tu ambazo jezi zao sio rangi ya taifa eg Italy

Italy? Umebugi meni! Huwezi kujenga hoja kwa kutumia mfano mmoja tu.
 
attachment.php
 
Ikumbukwe Malinzi ni shabiki wa timu ya wananchi au wazee wa kimataifa tangu kitambo, sasa inakuaje amfurahishe mnyama?

Amee_engineer Hans Pope. Tanzania na rangi nyeupe wapi na wapi?
 
Hapo wachina washapiga hela nyie endeleeni na maneno.
 
Back
Top Bottom