Watavaa hadi batiki mwaka huu.
Watavaa hadi batiki mwaka huu.
ivi kwe bendera ya taifa kuna rangi nyeupe!?.....hawazijui rangi za taifa, au ujeuri?
Sio lazima ila ni kajiutaratibu tu ambacho watu wamezoea, ila lazima iwe na bendera zipo team kubwa tu ambazo jezi zao sio rangi ya taifa eg Italy
Bafana BAFANA wanavaa km BRAZIL, wanachopata mii sisemi.
Sijawahi kuona Mbeya city wakivaa hiyo nguo ya rangi tajwa hebu fafanua
Wameamua kuwafurahisha Simba, majanga matupu!
Ikumbukwe Malinzi ni shabiki wa timu ya wananchi au wazee wa kimataifa tangu kitambo, sasa inakuaje amfurahishe mnyama?
Brazil wanavaa bluu na njano, South Africa wanavaa kijani na njano.
Umekariri.
Sio mbaya, nimezipenda zaidi hizo white, angalau naweza nunua stars jersey sasa!
Kama shabiki, naweza pata shirt wapi ambayo ni original??
Bafana BAFANA wanavaa km BRAZIL, wanachopata mii sisemi.